Unawaonea tu hao wajumbe, huo ndo mfumo wa siasa ulivyo dunia nzima... Lazima uwe mnafki kwa maslahi yako, hata huko kwa wanaotuhubiria demokrasia maisha ndo hayo hayo, ishu mfano ya ILLEGAL IMMIGRATION huko US ukiwaskiliza REPUBLICAN na DEMOCRATIC kila mmoja anatoa maoni kulingana na msimamo wa chama na si hali halisi ambayo inaonekana..