accused JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,496 Reaction score 2,746 Aug 9, 2016 #21 longi mapexa said: aisee oligilai kwa mbotela .... kwa kavei..anglikana Ng'iresi darajani..... kimelok.... Nambere ..... Sekei.... mwisho kabisa water falls dah! kweli jomba kunywa soda nakuja kukulipia mkuu haha... Click to expand... Niko Philips hapa jomba nshapiga soda njoo ulipe tupande Oligilai. Au tuanzie oldadai halafu bangata kwa manyata ndio tuende kwa sirikwa
longi mapexa said: aisee oligilai kwa mbotela .... kwa kavei..anglikana Ng'iresi darajani..... kimelok.... Nambere ..... Sekei.... mwisho kabisa water falls dah! kweli jomba kunywa soda nakuja kukulipia mkuu haha... Click to expand... Niko Philips hapa jomba nshapiga soda njoo ulipe tupande Oligilai. Au tuanzie oldadai halafu bangata kwa manyata ndio tuende kwa sirikwa
longi mapexa JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,265 Reaction score 4,250 Aug 9, 2016 #22 accused said: Niko Philips hapa jomba nshapiga soda njoo ulipe tupande Oligilai. Au tuanzie oldadai halafu bangata kwa manyata ndio tuende kwa sirikwa Click to expand... muambie muuzaji ntakuja kulipa siku nakuja kubet hapo philips juu ya sheli maana hapa sekei kisimani kwa huyu katibu wa UDP ndo chimbo langu arif
accused said: Niko Philips hapa jomba nshapiga soda njoo ulipe tupande Oligilai. Au tuanzie oldadai halafu bangata kwa manyata ndio tuende kwa sirikwa Click to expand... muambie muuzaji ntakuja kulipa siku nakuja kubet hapo philips juu ya sheli maana hapa sekei kisimani kwa huyu katibu wa UDP ndo chimbo langu arif
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Aug 9, 2016 #23 Jamalm335 said: ok dad, ila inapsawa kuwa; skick=stick akikoea=akikosea sijavuja=sijavunja kumdadizi=kumdadisi ahache=aache. Natumai ulimfundisha maadili tu na si kusoma na kuandika maana kwa uandishi huu, dad your are the best.................... Click to expand... Mi sio mtu wa lugha, mi mwanasayansi, ninachokifanya ni kuhakikisha kimeeleweka. Naamini hata wewe umenielewa kijana.
Jamalm335 said: ok dad, ila inapsawa kuwa; skick=stick akikoea=akikosea sijavuja=sijavunja kumdadizi=kumdadisi ahache=aache. Natumai ulimfundisha maadili tu na si kusoma na kuandika maana kwa uandishi huu, dad your are the best.................... Click to expand... Mi sio mtu wa lugha, mi mwanasayansi, ninachokifanya ni kuhakikisha kimeeleweka. Naamini hata wewe umenielewa kijana.