accused
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,496
- 2,746
Niko Philips hapa jomba nshapiga soda njoo ulipe tupande Oligilai. Au tuanzie oldadai halafu bangata kwa manyata ndio tuende kwa sirikwaaisee oligilai kwa mbotela .... kwa kavei..anglikana
Ng'iresi darajani.....
kimelok....
Nambere .....
Sekei....
mwisho kabisa water falls dah! kweli jomba kunywa soda nakuja kukulipia mkuu haha...