Ujinga ni mbaya sana

Ujinga ni mbaya sana

aisee oligilai kwa mbotela .... kwa kavei..anglikana


Ng'iresi darajani.....

kimelok....

Nambere .....

Sekei....

mwisho kabisa water falls dah! kweli jomba kunywa soda nakuja kukulipia mkuu haha...
Niko Philips hapa jomba nshapiga soda njoo ulipe tupande Oligilai. Au tuanzie oldadai halafu bangata kwa manyata ndio tuende kwa sirikwa
 
Niko Philips hapa jomba nshapiga soda njoo ulipe tupande Oligilai. Au tuanzie oldadai halafu bangata kwa manyata ndio tuende kwa sirikwa
muambie muuzaji ntakuja kulipa siku nakuja kubet hapo philips juu ya sheli maana hapa sekei kisimani kwa huyu katibu wa UDP ndo chimbo langu arif
 
ok dad, ila inapsawa kuwa;
skick=stick
akikoea=akikosea
sijavuja=sijavunja
kumdadizi=kumdadisi
ahache=aache.

Natumai ulimfundisha maadili tu na si kusoma na kuandika maana kwa uandishi huu, dad your are the best....................
Mi sio mtu wa lugha, mi mwanasayansi, ninachokifanya ni kuhakikisha kimeeleweka. Naamini hata wewe umenielewa kijana.
 
Back
Top Bottom