the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,372
rangi ya maandishi ndio font colour mkuufont,color >,ndo nini nijuzeni ndug
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rangi ya maandishi ndio font colour mkuufont,color >,ndo nini nijuzeni ndug
Font = herufifont,color >,ndo nini nijuzeni ndug
Ujinga ni pale unapomuona msichana unampenda kwa moyo mmoja unaamua kumuomba namba ya simu ya yeye bila hiyana anakupa, ukifika home unamtumia sms ya kueleza dhamira yako ya upendo wako kwake, sekunde inaingia meseji, unafurahi kuwa umejibiwa, unaamua kwenda kuoga na kula then unakaa kwenye sofa ukiwa tayari kusoma sms ambayo kwa asilimia zote unajua ni majibu ya ombi lako kwa yule demu halafu unakutana na sms hii kutoka TIGO: SALIO LAKO HALITOSHI KUTUMA MESEJI
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82]Ujinga ni pale mkeo kakuzalia mtoto aliyefanana sura na jirani yako wa kiume arafu ukimuhoji mkeo anakujibu huo ndio ujirani mwema.