Ujinga ni pale unapo...........

Ujinga ni pale unapo...........

Ujinga ni pale unapomuona msichana unampenda kwa moyo mmoja unaamua kumuomba namba ya simu ya yeye bila hiyana anakupa, ukifika home unamtumia sms ya kueleza dhamira yako ya upendo wako kwake, sekunde inaingia meseji, unafurahi kuwa umejibiwa, unaamua kwenda kuoga na kula then unakaa kwenye sofa ukiwa tayari kusoma sms ambayo kwa asilimia zote unajua ni majibu ya ombi lako kwa yule demu halafu unakutana na sms hii kutoka TIGO: SALIO LAKO HALITOSHI KUTUMA MESEJI
8aaf8a334e0167d5ac2d010061a33f16_L.jpg
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ujinga ni pale mkeo kakuzalia mtoto aliyefanana sura na jirani yako wa kiume arafu ukimuhoji mkeo anakujibu huo ndio ujirani mwema.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82]
 
Ujinga ni pale unapomshangaa mtu akipumua angali ako kwa choo we ulitaka akapumue hotelini. Tuache ujinga
 
Ujinga ni pale unapomwambia konda shusha hapo, na umekaa mbele kwenye daladala na dereva. Tuwache ujinga.
 
Back
Top Bottom