Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Mkuu Matola,
Vitu vingine watu wanafanya for experimental purposes only. Hata mimi naona kuna haja ya kulifanyia hili jambo experiment. BTW katoto ka 2000 tayari ni mtu mzima huyo.๐Ÿคช
(Kidding)
Ukiwa mgeni na Matola utapata shida, huwa ni complicator muda wote
 
4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.
Hii ndio pwenti ya msingi, we hukuwa unapiga show na kalikuwa kanakuigizia yote kujifanya kame fall kakuteke kiboya. Ukuni unarindima kisawasawa mtu apate mda wa kuomba hela, aaaaa sio kweli.
 
Baby nateseka kwenda kazini na boda ninunulie gari! Gari my foot๐Ÿšฎ
 
Mjukuu wako pia ni wa 2000's
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿšฌ๐Ÿšฌ๐Ÿšฌ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
 
Sema ukweli tu ni ka form 4 failure. Miaka 21 ndio kametoka kamaliza degree? Au degree ya mapenzi?
Mhasibu unataka kutupiga hadi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ