njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Jamani hivi ni wehu au ushamba wa haya ma dude ya rangirangi unaweza kuyatumia saa kumi jioni yakaleta impact? Yataakisi vipi sasa? Mwishowe sasa mtasema hadi tochi za simu zitawashwa!
Meneja wa kitengo wa timu unapotezea tu watu hela zao, wayanunue waje wayawashe washindane na mwanga wa jua. Au mna hakika mnashinda kwamba mtaakaa uwanjani hadi usiku muwayawashe kushangilia?
NB: Picha iliyotumika siyo ya Tanzania.