Ujinga wa 5G: Vijana Wanaokimbia Bila Kujua Wanakoenda

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
817
Reaction score
881
"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi, ungemkabidhi mtu anayejua tu kuunganisha kamba za jeneza au filter za TikTok? Huu ndio ule ujinga ambao Mwalimu Nyerere angeuita 'ujinga wa 5G – unakimbia sana lakini hujui unaenda wapi!'" — Alloyce, P.R.
 
  • Una hoja.
  • Kutambua tatizo ni hatua moja mbele.
Je kwa wewe binafsi unatumia vipi uwepo wa AI.
Je hadi sasa AI imeweze kukuingizia ki[pato cha ziada?
Tushirikishe tuweze kujifunza kwa mifano hai toka kwako.
---
 
Inasikitisha sana
Tech imekuja haraka sana afrika
 
"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi, ungemkabidhi mtu anayejua tu kuunganisha kamba za jeneza au filter za TikTok? Huu ndio ule ujinga ambao Mwalimu Nyerere angeuita 'ujinga wa 5G – unakimbia sana lakini hujui unaenda wapi!'" — Alloyce, P.R.
Bila mabadiliko ya sheria na kanuni Hakuna Uchaguzi
 
Code ni moja tu No Reform No Election
 
"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi, ungemkabidhi mtu anayejua tu kuunganisha kamba za jeneza au filter za TikTok? Huu ndio ule ujinga ambao Mwalimu Nyerere angeuita 'ujinga wa 5G – unakimbia sana lakini hujui unaenda wapi!'" — Alloyce, P.R.
Wewe umeingiza mamillion mangapi mwezi uliopita tu hapa pamoja na mwezi huu mkuu?.

Usitake kujifanya kuwa unayafahamu maisha ya vijana wote wa TZ na KN Pamoja na hali zao za kiuchumi....kaa kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom