Ujinga wa 5G: Vijana Wanaokimbia Bila Kujua Wanakoenda

Ujinga wa 5G: Vijana Wanaokimbia Bila Kujua Wanakoenda

Wewe umeingiza mamillion mangapi mwezi uliopita tu hapa pamoja na mwezi huu mkuu?.

Usitake kujifanya kuwa unayafahamu maisha ya vijana wote wa TZ na KN Pamoja na hali zao za kiuchumi....kaa kwa kutulia.
 
"Survive not merely for your own sake, but as a duty to the generations that follow. In your endurance lies the promise of their tomorrow.
 
"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi, ungemkabidhi mtu anayejua tu kuunganisha kamba za jeneza au filter za TikTok? Huu ndio ule ujinga ambao Mwalimu Nyerere angeuita 'ujinga wa 5G – unakimbia sana lakini hujui unaenda wapi!'" — Alloyce, P.R.
Wewe umefanya Nini cha kukukumbukwa kabla ujatufokea tukijue.
 
Back
Top Bottom