Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi, ungemkabidhi mtu anayejua tu kuunganisha kamba za jeneza au filter za TikTok? Huu ndio ule ujinga ambao Mwalimu Nyerere angeuita 'ujinga wa 5G – unakimbia sana lakini hujui unaenda wapi!'" — Alloyce, P.R.
Bila mabadiliko ya sheria na kanuni Hakuna Uchaguzi"Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi, ungemkabidhi mtu anayejua tu kuunganisha kamba za jeneza au filter za TikTok? Huu ndio ule ujinga ambao Mwalimu Nyerere angeuita 'ujinga wa 5G – unakimbia sana lakini hujui unaenda wapi!'" — Alloyce, P.R.
Bila mabadiliko ya sheria na kanuni Hakuna Uchaguzi
No Reforms No Election
Code ni moja tu No Reform No ElectionKiherehere cha Mbweha na uchaguzi mkuu.
"Mbweha aliposema, 'Pasipo mabadiliko hakuna uchaguzi,' aliulizwa: 'Na pasipo ukweli, mabadiliko yanatoka wapi?' Akakimbia kwenda kugombea tena." - Alloyce, P.R.www.jamiiforums.com
Code ni moja tu No Reform No Election
No elections, no reformsNo Reforms No Election
Mmeyakanyaga mwaka huuNo elections, no reforms
No elections, no reforms
Mmeyakanyaga mwaka huu
Uzalendo ni kwa nchi sio kwa mtu wala chama.The Philosophy of Patriotism
"Declaring 'MY COUNTRY FIRST' in bold and capital letters is an act of honor; for to betray your people is, in truth, to betray your country." — Alloyce, P.R.www.jamiiforums.com
We unadhani ingechelewa ingesaidia mkuu,!?,, Wacha tu iwahi ili iwachangamshe waliolala,wataamka kukiwa kumekucha.Inasikitisha sana
Tech imekuja haraka sana afrika
Wewe umeingiza mamillion mangapi mwezi uliopita tu hapa pamoja na mwezi huu mkuu?."Wakati vijana wa Ulaya na Asia wanaitumia AI kuingiza mamilioni, vijana wa Tanzania, Kenya na Uganda wako bize kuvua viongozi nguo, kuwaweka kwenye majeneza na kuedit picha za mizinga. Halafu kesho yake wanasema, 'Hatutendewi haki, hatuna ajira!' Hivi wewe ungekuwa na kampuni, taasisi, ungemkabidhi mtu anayejua tu kuunganisha kamba za jeneza au filter za TikTok? Huu ndio ule ujinga ambao Mwalimu Nyerere angeuita 'ujinga wa 5G – unakimbia sana lakini hujui unaenda wapi!'" — Alloyce, P.R.