Kwani lengo la kufanya media tour ni nini??Mkuu tour alikuwa anafanya zamani sio Sasa, kwa local media Sasa anafanya clouds kwa Sasa
Akishatoka hapo anaenda Nairobi na kwingineko
Radio popular kwa dar zinazosikika mikoani pia hazipungui tanoKama una ushahidi wa hilo ningependa kujua.
ila pia tuangalie tuna redio ngapi bora bongo ambazo zinasikilizwa na watu wengi.
ipi inaaminiwa na wengi.
Tasnia ya habari inatakiwa iwe bora.. mikoani pia kuwe na redio zenye ubora kiasi cha msanii aweze hata kutoa taarifa sumbawanga na watu wakaipata kwa haraka.
bado Redio zetu hazikidhi mahitaji yetu na ya wasanii pia
Radio popular kwa dar zinazosikika mikoani pia hazipungui nne
Na zina base ya kutosha tu
Kwanini ziwe tano tu...Radio popular kwa dar zinazosikika mikoani pia hazipungui tano
Na zina base ya kutosha tu
Sema Radio unazotaka wewe haendagi lakini kusema eti anatumia Clouds pekee ni uongo usio na maana yoyote! Mfano wa karibuni kabisa hata alipoizindua Utanipenda alienda hadi EFM!Mkuu tour alikuwa anafanya zamani sio Sasa, kwa local media Sasa anafanya clouds kwa Sasa
Akishatoka hapo anaenda Nairobi na kwingineko
Umeona hizo tours? Bint dawa yako ni....kama ya Diva ili baadae uache uzushi.Napenda kutumia jukwaa hili kumshauri msanii diamond, na hii tabia yake ya kudhani kuwa yeye nyumbani kwake kwenye upande wa media ni kituo cha clouds tu, siwezi jua moyoni mwake anasukumwa na nini ila kiukweli Hali hii kwa msanii kama yeye ambaye kwa Sasa anajulikana angalau nchi za ukanda wetu wa Africa mashariki ni Ujinga uliopitiliza
Yaani kila kitu chochote kinachomusu yeye source yake ya Habari lazima ianzie kule clouds, maana yake hii anawanyima wengine Mamlaka ya kuripot habar zake
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma wakat ule ana nywele kama chelewa ilikuwa kila akiachia video ilikuwa lazima apite pale Friday night live F.N.L akauview kwa mashabiki wake
Ilikuwa kila akiachia audio lazima atafanya media tour kwa radio zisizo pungua tano, ila Leo hii yeye akishaenda mawinguni kashamaliza hii ni dharau kubwa kwa vyombo vya Habari
kwani wasanii na media wanategemeana sana,
Leo hii kina Jay-Z, Rick Ross, 50 cent, Beyonce, Rihanna, Chris Brown, dmx, na mastaa wengi wa marekani hufanya media tour bila kuichagua japo ngoma zao huziuza zaidi kwenye iTunes
Hata hapa Tanzania kuna legendary kama kina ambwene yesaya, A.Y, joh Makin, profesa jay, sugu, alikiba, jaydee na wengine huwa hawaleti pozi wala kuchagua sehemu za interview
Namshauri bw. Almasi hajafika hapo alipo pekee yake media zimempush aache ulimbukeni wa tandale
Wasalaamu
Clouds made Diamond, Clouds runs Tz music industry.
Clouds wanajua ni wakarimu wale halafu wanajua kutengeneza personal connection. Msanii akiingia pale hatoki bure. Watampa japo kahela ka mafuta. Sasa nyie redio ligi ndogo njaa tupu nani awatembelee? Mtaishia kuwahoji haohao kina Sister P