Ujinga wa diamond kujiona yeye ni clouds zaidi kuliko media zingine ni Ujinga uliopitiliza

Ujinga wa diamond kujiona yeye ni clouds zaidi kuliko media zingine ni Ujinga uliopitiliza

Kama una ushahidi wa hilo ningependa kujua.
ila pia tuangalie tuna redio ngapi bora bongo ambazo zinasikilizwa na watu wengi.
ipi inaaminiwa na wengi.
Tasnia ya habari inatakiwa iwe bora.. mikoani pia kuwe na redio zenye ubora kiasi cha msanii aweze hata kutoa taarifa sumbawanga na watu wakaipata kwa haraka.
bado Redio zetu hazikidhi mahitaji yetu na ya wasanii pia
Radio popular kwa dar zinazosikika mikoani pia hazipungui tano
Na zina base ya kutosha tu
 
Radio popular kwa dar zinazosikika mikoani pia hazipungui tano
Na zina base ya kutosha tu
Kwanini ziwe tano tu...
kwanini mikoani nako kusiwe na redio zenye ubora…!?
bado hazitoshi izo tano, maana apo ni clouds na ea radio ndio zina fanbase kubwa nje ya dar.. zingine hamna kitu.
 
Habari yako si ya kweli na uache uongo na uzushi.

HIZI HAPA BAADHI YA PICHA ZA KWENYE MEDIA TOUR ZA UTANIPENDA ( bado hajatoa nyimbo nyingine toka atoe Je utanipenda.....)

images

Hii ni tbc.

images

Hii hapa inaonekana live E.fm.

images

Magic fm

images

Hapa Azzam tv.
 
Mkuu tour alikuwa anafanya zamani sio Sasa, kwa local media Sasa anafanya clouds kwa Sasa
Akishatoka hapo anaenda Nairobi na kwingineko
Sema Radio unazotaka wewe haendagi lakini kusema eti anatumia Clouds pekee ni uongo usio na maana yoyote! Mfano wa karibuni kabisa hata alipoizindua Utanipenda alienda hadi EFM!
 
Napenda kutumia jukwaa hili kumshauri msanii diamond, na hii tabia yake ya kudhani kuwa yeye nyumbani kwake kwenye upande wa media ni kituo cha clouds tu, siwezi jua moyoni mwake anasukumwa na nini ila kiukweli Hali hii kwa msanii kama yeye ambaye kwa Sasa anajulikana angalau nchi za ukanda wetu wa Africa mashariki ni Ujinga uliopitiliza

Yaani kila kitu chochote kinachomusu yeye source yake ya Habari lazima ianzie kule clouds, maana yake hii anawanyima wengine Mamlaka ya kuripot habar zake

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma wakat ule ana nywele kama chelewa ilikuwa kila akiachia video ilikuwa lazima apite pale Friday night live F.N.L akauview kwa mashabiki wake
Ilikuwa kila akiachia audio lazima atafanya media tour kwa radio zisizo pungua tano, ila Leo hii yeye akishaenda mawinguni kashamaliza hii ni dharau kubwa kwa vyombo vya Habari
kwani wasanii na media wanategemeana sana,

Leo hii kina Jay-Z, Rick Ross, 50 cent, Beyonce, Rihanna, Chris Brown, dmx, na mastaa wengi wa marekani hufanya media tour bila kuichagua japo ngoma zao huziuza zaidi kwenye iTunes

Hata hapa Tanzania kuna legendary kama kina ambwene yesaya, A.Y, joh Makin, profesa jay, sugu, alikiba, jaydee na wengine huwa hawaleti pozi wala kuchagua sehemu za interview

Namshauri bw. Almasi hajafika hapo alipo pekee yake media zimempush aache ulimbukeni wa tandale

Wasalaamu
Umeona hizo tours? Bint dawa yako ni....kama ya Diva ili baadae uache uzushi.
 
Acha urongo mtoa mada unaonekana unachuki binafsi au umetumwa uyo diamond tunamuona media zote za ndani na za nje kama vip nenda clouds ukawaambie we kweli ngapu
 
Labda anaangalia sehemu ambayo anaua ndege wawili kwa jiwe moja.....si unajua dunia ya leo muda ni mali ndugu.
 
Clouds wanajua ni wakarimu wale halafu wanajua kutengeneza personal connection. Msanii akiingia pale hatoki bure. Watampa japo kahela ka mafuta. Sasa nyie redio ligi ndogo njaa tupu nani awatembelee? Mtaishia kuwahoji haohao kina Sister P

Joined: Tuesday
Posts:157
Days:5
Av Posts per day:31

Bora bunge lionyeshwe tu live maana hawajazuia chochote.
 
Diamond platnumz au Diamond mwingine? Huwa namuona E fm, clouds, kuna kipindi meneja wake alikuwa anaenda kwenye media hadi za mikoani, kuhusu East Africa Tv nafikiri wanamgogoro.
 
Back
Top Bottom