Ujinga wa Diamond, Zero kabisa

Ujinga wa Diamond, Zero kabisa

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
12002862_932137196880166_7590403575265443891_n.jpg
 
kiukwel nimeamini sio kila kinachokupa faida kubwa basi ni kizuri..lazma kiwe na side effect zake...tuliona wakina lil wayne,nick minaj walivokuwa wanampigia chapio obama na kuhamasisha ma black wampigie kura obama ila cha kushangaza term ya pili ya obama wamemponda sana obama na matuc juu...huyo jay-z mwenyew baada ya kampeni za oboma wote nadhani ni mashaidi licha ya promo ya kufa mtu ya albam ya holly grail ila kuangukia pua...siasa tuwaachie wanasiasa me naona wasanii wabaki km raia wa kawaida tu..tutabaki kuwaona p-square miaka nenda rud wako juu..sababu ya kusoma saikolojia za mashabiki wako nini wanapenda kuona wao wanafanya au wanataka kusikia...msanii ni km mchungaji au shekhe pale atapohubiri juu ya yeye anapenda chama gani ndani ya nymba za ibada lazma atapoteza waumini wale ambao upande wao watakuwa wamepondewa....
 
Hii hadithi yako nyepesi sana tulishasikia kubwa sanaaaaaaaaa zaidi ya hii,lakini ndo kwanza badala wampungue mashabiki wake ndo kwanza wanazidi kuongezeka na unazidi kumpromoti pasipo mwenyewe kujua. We tuletee hata ya kabla hajazaliwa alisema nini sio hizo za 2013 na bado tunampenda tutaendelea kumpenda na hatutaacha kumpenda na wala hatufikilii kutokumpenda.
 
Umeshindwa kabisa kuibadilisha hiyo tarehe April 9. 2013 uweke Sept. 19. 2015???
 
Hata jay z aje apande kwenye jukwaa la ccm..safar hii
CCM out
 
Last edited by a moderator:
Ndomo hajielewi kabisa, akili hana, u swahili swahili tu, shule mteru alafu reasoning yake ni ndogo sana.
 
Ndomo n zero brain,akumbuka shuka kumekucha?!
 
maatope unatia aibu ingawaje unaita wenzako wajinga lakini kwa hili inaonekana wewe ndo mjinga kwa tafsiri ile ile kwamba kutofahamu jambo ni ujinga! Kabla hujaandika hiyo post ulitakiwa kwanza kufanya utafiti ili ufahamu issue ya ringtones ipo vipi siku hizi!!! In short, zamani kampuni za simu zilikuwa zinaingia mikataba na mawakala kwenye issue za ringtones na wakala wenyewe alikuwa Omni mobile! Hawa Omni mobile walikuwa wame-monopolize hili eneo na ilikuwa ni wao ndio wanaingia mkataba na kampuni za simu na sio msanii! Mgawanyo wa mapato ilikuwa ni kwamba kampuni za simu ndo walikuwa wanakula mpungu mkubwa zaidi kisha wanafuatia Omni Mobile.

Kutokana na hilo, kwanza msanii ilikuwa huwezi kuilalamikia kampuni ya simu manake hakutambui... wao wameingia mkataba na Omni! Kinyume chake, hivi sasa hiyo monopoly ya Omni Mobile na mawakala wengine imeshaondelewa kwahiyo msanii anaweza kuingia mkataba moja kwa moja na kampuni za simu au anaweza kutumia middle man/wakala!!

Sasa ikiwa msanii ameshapewa nafasi ya kuingia mkataba moja kwa moja na kampuni ya simu (jambo ambalo zamani halikuwapo) lakini kampuni ya simu ikachukua (say) 95% ya mapato na wewe msanii ukakubali then it's your problem!!!

Kwahiyo acha kuongea mambo usiyojua ndugu....
 
Last edited by a moderator:
Ndomo hajielewi kabisa, akili hana, u swahili swahili tu, shule mteru alafu reasoning yake ni ndogo sana.
I see! Kwahiyo na wewe ndo una reasoning kubwa wakati unashabikia kitu usichokijua?
 
kiukwel nimeamini sio kila kinachokupa faida kubwa basi ni kizuri..lazma kiwe na side effect zake...tuliona wakina lil wayne,nick minaj walivokuwa wanampigia chapio obama na kuhamasisha ma black wampigie kura obama ila cha kushangaza term ya pili ya obama wamemponda sana obama na matuc juu...huyo jay-z mwenyew baada ya kampeni za oboma wote nadhani ni mashaidi licha ya promo ya kufa mtu ya albam ya holly grail ila kuangukia pua...siasa tuwaachie wanasiasa me naona wasanii wabaki km raia wa kawaida tu..tutabaki kuwaona p-square miaka nenda rud wako juu..sababu ya kusoma saikolojia za mashabiki wako nini wanapenda kuona wao wanafanya au wanataka kusikia...msanii ni km mchungaji au shekhe pale atapohubiri juu ya yeye anapenda chama gani ndani ya nymba za ibada lazma atapoteza waumini wale ambao upande wao watakuwa wamepondewa....
Basi hata Nigeria ni P Square peke yake atabaki manake ma-star kibao huko Nigeria including Davido na Tiwa Savage walifanya kampeni za majukwaani kwenye uchaguzi uliopita!

Acheni unafiki wa kujifanya hampendi kuona wanamuziki wakifanya kampeni za kisiasa kumbe kimsingi kinachowauma nyinyi ni mwanamuziki, hususani Diamond kutofanyia kampeni chama mnachokitaka nyinyi! An FYI, hiyo post hapo juu ni obsolete na mleta mada wala hafahamu kwamba issue za mikataba ya ringtones hivi sasa ni tofauti na ilivyokuwa kipindi hicho wasanii wanalalamikia!
 
Back
Top Bottom