Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Old school, April 2013
I see! Kwahiyo na wewe ndo una reasoning kubwa wakati unashabikia kitu usichokijua?Ndomo hajielewi kabisa, akili hana, u swahili swahili tu, shule mteru alafu reasoning yake ni ndogo sana.
Basi hata Nigeria ni P Square peke yake atabaki manake ma-star kibao huko Nigeria including Davido na Tiwa Savage walifanya kampeni za majukwaani kwenye uchaguzi uliopita!kiukwel nimeamini sio kila kinachokupa faida kubwa basi ni kizuri..lazma kiwe na side effect zake...tuliona wakina lil wayne,nick minaj walivokuwa wanampigia chapio obama na kuhamasisha ma black wampigie kura obama ila cha kushangaza term ya pili ya obama wamemponda sana obama na matuc juu...huyo jay-z mwenyew baada ya kampeni za oboma wote nadhani ni mashaidi licha ya promo ya kufa mtu ya albam ya holly grail ila kuangukia pua...siasa tuwaachie wanasiasa me naona wasanii wabaki km raia wa kawaida tu..tutabaki kuwaona p-square miaka nenda rud wako juu..sababu ya kusoma saikolojia za mashabiki wako nini wanapenda kuona wao wanafanya au wanataka kusikia...msanii ni km mchungaji au shekhe pale atapohubiri juu ya yeye anapenda chama gani ndani ya nymba za ibada lazma atapoteza waumini wale ambao upande wao watakuwa wamepondewa....