WADAU
AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA"
Miongoni mwa maandiko hayo ni pamoja na lililoonyesha namna Mwafrika anavyo danganywa na Ushirikina - Waganga wa Kieneyeji, na lile la "Kuleni wanangu, leo sikukuu yenu!"
Mwenye ufahamu kama maandiko haya yanapatikana na wapi tafadhali tupia hapa!
Baadhi tunadhani bado maandiko hayo yana tuhusu - RELEVANT hata leo.