Ujinga wa Simba

Sasa hapo ujinga uko wapi ? Je ww una fahamu simba wana weka bei gan. Ktk udhamin wao mpya ?

Hao watu 1M ni mtaaji wa kumvuta sponsor ili aweze kuleta udhamin wake

Sports pesa walishindwana na simba sc na haijulikan sportpesa walitoa offer to a uzamin wa bei gan

Nirahis kuamin alichokifanya huyo mdhamin ni kuchukua ile ambayo alitaka kuwapa Simba bac akaamua yote iende Yanga
 
Sport pesa imesgakuwa na uyanga kwa hiyo tegemea tu kitu kama hicho
 
Kwa Sasa Simba inaendeshwa na watu chupri chupri inakwenda kukutana na Anguko kuu msimu ujao.
 
Nasikia kocha wao anasingizia uwanja mbovu huko kwa farao, anaujua mkwakwani kweli? 🤪🤪
 
Mkuu kipindi hiki mashabiki wa Simba wameghafilika mnoo, jitahidi kwenda nao taratibu 😂😂😂
 
Maisha yana kwenda kasi sana, Wakati Yanga inafurahia kupata udhamini wa Bilion 12.335 kwa miaka mitatu, Wenzetu Simba wao wanafurahia kufikisha Followers milion 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Platforms zote za simba haziingizi hata 500 millions per year.

Walikataa kuuza maadhui yao kwa azam wakiamini kua platform zao zita generate more income.

Hatimaye yanga wenye followers ambao sio wengi zaidi ya simba wao wameona wauze contents zao kwa azam media company na wamefanikiwa kwa kua wanaingiza more than 3.8 Billion per year(38 Billions within a 10 yrs).

Hili limethibitishwa jana baada ya kusaini mkataba na sportpesa maana watafuna hela za kutosha.

Hii ni tafsiri kua yanga wako vizuri kwenye ku negotiate contracts na kutafuta finances ili waweze ku operate katika activities zao.
 
Ukiona unamsema saana mtu jua kashakuzidi, hakuna Mkubwa anaehangaika kumsema aliye chini yake.
Eti bakhresa akae ananidiscus mie kapuku 😂🤣

Sisi ndio tukikaa maskani tunaanza kumdiscuss ooh bakhresa alianza kuuza kahawa, kushona viatu, ooh, bakhresa ana hela kushinda moo, ooh, mwenye picha ya bakhresa nani, haonekani🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…