Ujinga wa Simba

Ujinga wa Simba

Platforms zote za simba haziingizi hata 500 millions per year.

Walikataa kuuza maadhui yao kwa azam wakiamini kua platform zao zita generate more income.

Hatimaye yanga wenye followers ambao sio wengi zaidi ya simba wao wameona wauze contents zao kwa azam media company na wamefanikiwa kwa kua wanaingiza more than 3.8 Billion per year(38 Billions within a 10 yrs).

Hili limethibitishwa jana baada ya kusaini mkataba na sportpesa maana watafuna hela za kutosha.

Hii ni tafsiri kua yanga wako vizuri kwenye ku negotiate contracts na kutafuta finances ili waweze ku operate katika activities zao.
Comment ndefu,content zero.
 
Manara ashawaambia nyie mna vinyesi sehemu za siri sishangai kuona unaongea pumba km hii
 
Eti "Mimi ndo nshasema,
so who are you btw? who gives a shit what you say? TRASH.
Wewe una wenge si bure. Mimi nimeshasema as mshabiki wa Simba. And zip up yo trash ass
 
Back
Top Bottom