Platforms zote za simba haziingizi hata 500 millions per year.
Walikataa kuuza maadhui yao kwa azam wakiamini kua platform zao zita generate more income.
Hatimaye yanga wenye followers ambao sio wengi zaidi ya simba wao wameona wauze contents zao kwa azam media company na wamefanikiwa kwa kua wanaingiza more than 3.8 Billion per year(38 Billions within a 10 yrs).
Hili limethibitishwa jana baada ya kusaini mkataba na sportpesa maana watafuna hela za kutosha.
Hii ni tafsiri kua yanga wako vizuri kwenye ku negotiate contracts na kutafuta finances ili waweze ku operate katika activities zao.