Ujinga wa Simba

Ujinga wa Simba

Nnya Sports Club mnahangaika sana
FB_IMG_1586931024261.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hujui mpira, unalopoka tu.
Kaa tulia mimi na wewe nani anaropoka. Tulia kwenye line yako mkuu hunijui sikujui huwezi jua mpira naujuaje,au mpk nishangilie utopolo wako? Mimi ndo nshasema sasa Simba ijayo itakua tamu na wewe sifia Yanga yako ebooo.
 
Yanga wanapenda jilinganisha na Simba

Simba wanapenda jilinganisha na Kina Al Ahly
Simba wanapenda kujifanya wao wana ukuu kuliko yanga.

Yanga hupenda kuwakumbusha simba kua level zao ni kama za Tukuyu stars tu.
 
Dunia haipo sawa, na vipaumbele haviwezi kufanana...
 
Sasa hapo ujinga uko wapi ? Je ww una fahamu simba wana weka bei gan. Ktk udhamin wao mpya ?

Hao watu 1M ni mtaaji wa kumvuta sponsor ili aweze kuleta udhamin wake

Sports pesa walishindwana na simba sc na haijulikan sportpesa walitoa offer to a uzamin wa bei gan

Nirahis kuamin alichokifanya huyo mdhamin ni kuchukua ile ambayo alitaka kuwapa Simba bac akaamua yote iende Yanga
Mavi matupu kwenye ubongo wako
 
Hawa wako bize kushangilia vibwengo vipya ambao watakuwa kwenye jezi za msimu ujao
Luc hakukosea kuwaita nyie manyan
 
Kaa tulia mimi na wewe nani anaropoka. Tulia kwenye line yako mkuu hunijui sikujui huwezi jua mpira naujuaje,au mpk nishangilie utopolo wako? Mimi ndo nshasema sasa Simba ijayo itakua tamu na wewe sifia Yanga yako ebooo.
Eti "Mimi ndo nshasema,
so who are you btw? who gives a shit what you say? TRASH.
 
Maisha yana kwenda kasi sana, Wakati Yanga inafurahia kupata udhamini wa Bilion 12.335 kwa miaka mitatu, Wenzetu Simba wao wanafurahia kufikisha Followers milion 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usitutoe kwenye mjadala wa jezi 😁😁 😁

1659070831766.png
 
Walikataa kuuza maadhui yao kwa azam wakiamini kua platform zao zita generate more income.
Una uhakika na hili? Simba huwa hawatangazi hovyo hovyo, ila utashangaa mambo yanafanyika. Hivi unadhani kwa nini Simba alilazimika kushiriki shindano la Nani Zaidi lililoandaliwa na Azam Media? Unadhani Azam Media ilikuwapo pale kwa ajili gani?
 
Sasa hapo ujinga uko wapi ? Je ww una fahamu simba wana weka bei gan. Ktk udhamin wao mpya ?

Hao watu 1M ni mtaaji wa kumvuta sponsor ili aweze kuleta udhamin wake

Sports pesa walishindwana na simba sc na haijulikan sportpesa walitoa offer to a uzamin wa bei gan

Nirahis kuamin alichokifanya huyo mdhamin ni kuchukua ile ambayo alitaka kuwapa Simba bac akaamua yote iende Yanga
Hapo kwenye 1 M bado hujatoa ghost followers.
 
Back
Top Bottom