SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa tulia mimi na wewe nani anaropoka. Tulia kwenye line yako mkuu hunijui sikujui huwezi jua mpira naujuaje,au mpk nishangilie utopolo wako? Mimi ndo nshasema sasa Simba ijayo itakua tamu na wewe sifia Yanga yako ebooo.Hujui mpira, unalopoka tu.
Umemalizaaaaaaaaaa!!!!!!Yanga wanapenda jilinganisha na Simba
Simba wanapenda jilinganisha na Kina Al Ahly
Nyie huko mchangani hamjamboHaha huko kwa firauni wanapigwa mishindo balaa hadi kocha anahofia uhai wa mkataba wake [emoji23]
Acha TU mwananguEti bakhresa akae ananidiscus mie kapuku 😂🤣
Sisi ndio fukikaa maskani tunasema bakhresa alianza kuuza kahawa🤣
Simba wanapenda kujifanya wao wana ukuu kuliko yanga.Yanga wanapenda jilinganisha na Simba
Simba wanapenda jilinganisha na Kina Al Ahly
Mavi matupu kwenye ubongo wakoSasa hapo ujinga uko wapi ? Je ww una fahamu simba wana weka bei gan. Ktk udhamin wao mpya ?
Hao watu 1M ni mtaaji wa kumvuta sponsor ili aweze kuleta udhamin wake
Sports pesa walishindwana na simba sc na haijulikan sportpesa walitoa offer to a uzamin wa bei gan
Nirahis kuamin alichokifanya huyo mdhamin ni kuchukua ile ambayo alitaka kuwapa Simba bac akaamua yote iende Yanga
Eti "Mimi ndo nshasema,Kaa tulia mimi na wewe nani anaropoka. Tulia kwenye line yako mkuu hunijui sikujui huwezi jua mpira naujuaje,au mpk nishangilie utopolo wako? Mimi ndo nshasema sasa Simba ijayo itakua tamu na wewe sifia Yanga yako ebooo.
Usitutoe kwenye mjadala wa jezi 😁😁 😁Maisha yana kwenda kasi sana, Wakati Yanga inafurahia kupata udhamini wa Bilion 12.335 kwa miaka mitatu, Wenzetu Simba wao wanafurahia kufikisha Followers milion 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una uhakika na hili? Simba huwa hawatangazi hovyo hovyo, ila utashangaa mambo yanafanyika. Hivi unadhani kwa nini Simba alilazimika kushiriki shindano la Nani Zaidi lililoandaliwa na Azam Media? Unadhani Azam Media ilikuwapo pale kwa ajili gani?Walikataa kuuza maadhui yao kwa azam wakiamini kua platform zao zita generate more income.
unasikia! 😁😁 😁Nasikia kocha wao anasingizia uwanja mbovu huko kwa farao, anaujua mkwakwani kweli?
Mkuu kipindi hiki mashabiki wa Simba wameghafilika mnoo, jitahidi kwenda nao taratibu 😂😂😂
Hapo kwenye 1 M bado hujatoa ghost followers.Sasa hapo ujinga uko wapi ? Je ww una fahamu simba wana weka bei gan. Ktk udhamin wao mpya ?
Hao watu 1M ni mtaaji wa kumvuta sponsor ili aweze kuleta udhamin wake
Sports pesa walishindwana na simba sc na haijulikan sportpesa walitoa offer to a uzamin wa bei gan
Nirahis kuamin alichokifanya huyo mdhamin ni kuchukua ile ambayo alitaka kuwapa Simba bac akaamua yote iende Yanga
Nasikiaga twiter hakunaga huo upuuzi wa ghostHapo kwenye 1 M bado hujatoa ghost followers.