Ujinga wa wafanyakazi wa NSSF umevuka mipaka

Ujinga wa wafanyakazi wa NSSF umevuka mipaka

Unachapaje kazi wakati hakuna ajira? Hata basi watoe hela zetu tulizochangia NSSF ili tujiajiri hawataki. Hii nchi ngumu sana.
Pinda, Ndugai na Dotto James wote wanatoa matamko wakiwataka vijana wajiajiri. Wakati Pinda maisha yake yote amezeekea kwenye ajira.

Ndugai na Dotto James wao wameatamia nafasi ktk ajira ambazo hata hawastahili.

Mwenye shibe hamjui mwenye njaa. NSSF wamepewa maagizo na wenye shibe kwamba wasitoe fao la kujitoa.

Ndiyo maana nikasema tatizo lipo kwa nguvu toka juu.
 
Pinda, Ndugai na Dotto James wote wanatoa matamko wakiwataka vijana wajiajiri. Wakati Pinda maisha yake yote amezeekea kwenye ajira.

Ndugai na Dotto James wakati wao wameatamia nafasi ktk ajira ambazo hata hawastahili.

Mwenye shibe hamjui mwenye njaa. NSSF wamepewa maagizo na wenye shibe kwamba wasitoe fao la kujitoa.

Ndiyo maana nikasema tatizo lipo kwa nguvu toka juu.
Nchi ngumu sana hii. Sijui lini uvumilivu kwa watanzania utafikia mwisho?
 
Customer care zero. Ukiuliza maswali yanatoa majibu ya kipuuzi tu. Hii nchi ngumu sana. Hii sheria ya kuchangishana kwa lazima wakati ukiachishwa kazi hawataki kukupa hela yako ni ya kipumbavu.

Ahaaa ahaaa, nimecheka kwa nguvu, eti kuchangishana kwa nguvu. Hela imeingizwa kwenye miradi ya kusaka sifa kwa wanasiasa. Hiyo ndio vita vya kiuchumi.
 
Kuna dada mmoja pale NSSF Dar es salaam (posta) reception ni ana nyodo utadhani pesa tunayoweka ni ya baba yake...dada yupo reception halafu unamuuliza maswali anakujibu pumba....nilichukua statement PSSSF na baadae nikaenda NSSF kiukweli PSSSF wapo mbele kwenye costomer care na wanajali wateja...
 
Ustaadh nani yuko pale kama Mkuu kabisa.Nakumbuka siku za nyuma alikuwa Al Alamaa Ustaadh Ramadhani Dau akapandishwa kuwa Mh Balozi kwa utendaji wake mzuri wa kazi
 
Hapo Ubungo kidogo nimfyatue huyo dada kofi... Namwambia nahitaji fomu ya madai akaniomba termination letter ambayo ninakaribu 18months aniuliza tena kwanini hujadai toka zamani unadai leo? Nikamwangalia tu alivyo... roho wa Bwana akaniongoza kuwa mpole.

But honestly poor customer care and no hospitality.
 
Kuna limama lichawi linakomalia kidedea...Jenister limemuuza binti kulinda vyeo silipendiiii.....kazi kuua wanaume zake kupata vyeo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji44]
 
Back
Top Bottom