Ujinga wa wafanyakazi wa NSSF umevuka mipaka

Ujinga wa wafanyakazi wa NSSF umevuka mipaka

Unachapaje kazi wakati hakuna ajira? Hata basi watoe hela zetu tulizochangia NSSF ili tujiajiri hawataki. Hii nchi ngumu sana.

Hii mifuko imefilisiwa na serikali kwa kutumia fedha za wafanyakazi kwa mambo yao na wanapochukua hawarudishi hivyo mifuko ya huduma za jamii yote ni mufilisi!! Hivyo wafanyakazi wao kujibu kijanjajanja ni kukwepe ukweli kuwa hawana fedha ya kuwarudishia wafanyakazi michango yao wanapodai!!!
 
Back
Top Bottom