Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Monopoly pia mifuko hiyo iliishafilisika kitambo ndo wameimeji.naunga mkono hoja NSSF ni wapumbavu sana halafu utadhani pesa ni ya kwao wakati ni ya wafanyakazi na hasa NSSF ubungo ni wapuuzi hakuna mfano
Tuchape kazi, tumechelewa sana!Hii nchi ngumu sana. Watanzania tumekuwa wanyonge sana. Hela yako lakini inakutesa kuichukua.
Unachapaje kazi wakati hakuna ajira? Hata basi watoe hela zetu tulizochangia NSSF ili tujiajiri hawataki. Hii nchi ngumu sana.Tuchape kazi, tumechelewa sana!
Nasema uwongo ndugu zangu?
Duh.....................Kuna limama lichawi linakomalia kidedea...Jenister limemuuza binti kulinda vyeo silipendiiii.....kazi kuua wanaume zake kupata vyeo
Pinda, Ndugai na Dotto James wote wanatoa matamko wakiwataka vijana wajiajiri. Wakati Pinda maisha yake yote amezeekea kwenye ajira.Unachapaje kazi wakati hakuna ajira? Hata basi watoe hela zetu tulizochangia NSSF ili tujiajiri hawataki. Hii nchi ngumu sana.
Nchi ngumu sana hii. Sijui lini uvumilivu kwa watanzania utafikia mwisho?Pinda, Ndugai na Dotto James wote wanatoa matamko wakiwataka vijana wajiajiri. Wakati Pinda maisha yake yote amezeekea kwenye ajira.
Ndugai na Dotto James wakati wao wameatamia nafasi ktk ajira ambazo hata hawastahili.
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa. NSSF wamepewa maagizo na wenye shibe kwamba wasitoe fao la kujitoa.
Ndiyo maana nikasema tatizo lipo kwa nguvu toka juu.
Customer care zero. Ukiuliza maswali yanatoa majibu ya kipuuzi tu. Hii nchi ngumu sana. Hii sheria ya kuchangishana kwa lazima wakati ukiachishwa kazi hawataki kukupa hela yako ni ya kipumbavu.
Duuu!Kuna limama lichawi linakomalia kidedea...Jenister limemuuza binti kulinda vyeo silipendiiii.....kazi kuua wanaume zake kupata vyeo
Gosh!! Kumbeeš¤Kuna limama lichawi linakomalia kidedea...Jenister limemuuza binti kulinda vyeo silipendiiii.....kazi kuua wanaume zake kupata vyeo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji44]Kuna limama lichawi linakomalia kidedea...Jenister limemuuza binti kulinda vyeo silipendiiii.....kazi kuua wanaume zake kupata vyeo