Hii mifuko imefilisiwa na serikali kwa kutumia fedha za wafanyakazi kwa mambo yao na wanapochukua hawarudishi hivyo mifuko ya huduma za jamii yote ni mufilisi!! Hivyo wafanyakazi wao kujibu kijanjajanja ni kukwepe ukweli kuwa hawana fedha ya kuwarudishia wafanyakazi michango yao wanapodai!!!