Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa!!!!

Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa!!!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
 
Attachments

Na ww unayeamini kufanya mapenzi kila dk ni kum furahisha Mungu wako wa mchongo kisa ukapew wake 72 ni akili au ni unguruwe nguruwe
 
Na ww unayeamini kufanya mapenzi kila dk ni kum furahisha Mungu wako wa mchongo kisa ukapew wake 72 ni akili au ni unguruwe nguruwe
Sidhani kama kuna sehemu nimesema mimi ni mkristo au muislam sina ujinga huo na haitokaa initokee.

Acha kushupaza shingo kwa kuendekeza ujiza ujinga uliomeza kwa kurithi kwa wazazi wako unapaswa kutumia fikira za Uafrika ulizozaliwa nazo.

Usirikikie kila mada inayoletwa humu hasa zinazohitaji ufikiri mkubwa huna uwezo huo,shit hole!!
 
Soma ulichoandika,sidhani Kama una akili
 
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
Hata Vichaa huona Watu timamu kiakili ni Vichaa zaidi yao wakiwasahihisha kwa kula mabaki ya vyakula majalalani na kuyaishi maisha tofauti na Watu timamu wanavyoishi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Soma ulichoandika,sidhani Kama una akili
Sasa unasomaje kitu alichoandika asiye na akili huoni kama wewe ni kichaa kabisa

Hiki nilichoandika sijakuandia wewe umejipendekeza tu na kiherehere chako wapo niliwaandikia na kinaowahusu,pimbi wewe
 
Hata Vichaa huona Watu timamu kiakili ni Vichaa zaidi yao wakiwasahihisha kwa kula mabaki ya vyakula majalalani na kuyaishi maisha tofauti na Watu timamu wanavyoishi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hakuna Mwafrika yeyote kama wewe aliye na akili timamu na hatatokea kwa utumwa wa kifikira mlionao.

Jisahihishe mwenyewe kwanza kwa kuachana na ujinga uliomezeshwa na kukariri kutoka kwa mabwana zako weupe ndiyo uje unisahihishe mimi na mada zisiyokuhusu achana nazo waachie zinaowahu,sushit hole!!!
 
Sasa unasomaje kitu alichoandika asiye na akili huoni kama wewe ni kichaa kabisa

Hiki nilichoandika sijakuandia wewe umejipendekeza tu na kiherehere chako wapo niliwaandikia na kinaowahusu,pimbi wewe
Soma Tena ulichoandika,sidhani Kama una akili
 
Nitasoma Kisha nitachangia baadae panapo majaaliwa.
 
Soma hiyo
Ujinga mlionao wafia dini wa kiafrika ni kushabikia hata makosa ya kiuandishi au matamshi hata mnapokuwa tayari mmeelewa nini mtu alimaanisha,kwa ujinga huu hamtokaa mjikomboe kifikira,ilaakikosea bwana yenu mzungu au mwarabu au vibaraka wake mnashangilia tu.

Wewe ni MAITI
 
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
Weka wote hata wale wenzao wa kiislam ili utende haki sawa kwa wafia dini wote wapotezao maisha na muda wao kwa upuuzi kwa vile wakishakufa hawatajua wala. kurudi
 
Hakuna Mwafrika yeyote kama wewe aliye na akili timamu na hatatokea kwa utumwa wa kifikira mlionao.

Jisahihishe mwenyewe kwanza kwa kuachana na ujinga uliomezeshwa na kukariri kutoka kwa mabwana zako weupe ndiyo uje unisahihishe mimi na mada zisiyokuhusu achana nazo waachie zinaowahu,sushit hole!!!
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??

Wewe unapotosha . Kuna dini ukizikosoa unauawa hadharani bila kujali umri na jinsia . Kuna dini hata mtu wa dini nyingine haruhusiwi kushika hata kitabu chao kukisoma anaambiwa sio msafi . Sasa hayo hatusikii wakosoaji wakiyasema maana wanaogopa kuuawa.

Lakini pia ufahamu kuwa Hakuna mkristo mfia dini karne hii.
Karne hii watu wanafia pesa na starehe za dunia na maendeleo . Afrika hii Kabla ya Ukrsto kuja haikuwa hivi.
Ilikua gizani . Hapakuwa na Umeme. Hapakuwa na miji mikubwa kama Durban ,Johanesbag ,Nairob,Kisasha , Lagos, Kampala ,Dar es salaam .Ukrsto ulianzia Ulaya lakini pia maendeleo makubwa ya sayansi na Teknolojia yakianzia Ulaya . Kabla ya hapo dini zilikuwepo na maendeleo yalikuwepo kwa kiwango chake lakini kila kabila na eneo lilijifungia na maendeleo yake na imani yake . Sana sana walikua wanavamia himaya nyingine kwa lengo la kuwatawala na kutanua himaya zao.

Kusema kuwa Ukristo ndio umeleta uvamizi ni uongo .Uvamizi na kukalia maeneo mengine yenye hali nzuri ya hewa na ardhi nzuri ni hulka ya binadamu kote duniani tangu binadamu walipoanza kuongezeka .
Hata Afrika palikua na uvamizi kati ya kabila moja lenye nguvu dhidi ya lingine na vita ilikua ni kubwa na wizi wa mifugo na kuteka wanawake na watoto wa kike na hata wa kiume kwa ajili ya kwenda kufuga au kulima . Hii ilikua ni kabla ya ukoloni na ukristo na hata uislam .

Lakini vita zilikua kubwa zaidi kati ya Makabila na koo za waafrika zilikua kubwa zaidi baada ya uislam kuja Afrika na kuleta Bunduki za magobore na baadhi ya makabila kama wazigua ,Wahehe n.k wakajifunza kutengeneza bunduki na kuwa na tamaa ya kupata nguo kama Kaniki na Kanzu .Na pia wakafundishwa kuwa wale ambao sio waislam sio ndugu zao na wanapaswa kuuawa mpaka watakapo silimu .Chuki kati ya waafrika ndio ikaanzia hapo mpaka leo waafrika wanachukuana kwa misingi ya dini badala ya kuwa pamoja na kupigania utu wao ,uafrika wao na maendeleo yao .
Baada ya mapitio hayo ya karne nyingi ya kuua mila na dini za kiafrika ndipo wakaja Wazungu toka Ulaya karne ya 17 mpaka 19. Kwa miaka michache ya Ukrsto watu walipata Mwanga wa Elimu na kuwa sawa na wazungu na kujikomboa na kuwa na mazingira sawa kama ya wazungu katika kuongoza na kusimamia na kutatua kero zao kisheria na kikatiba ,huku wakiwa wamepanua wigo wa makabila mengi kuwa chini ya ,wavuli mmoja kama jamii moja bila kuvamia na kupora wanawake ,mifugo na mali nyingine .Wetu wakajiwekea sheria zao wenyewe za kuwasimamia .
Nchi nyingi wazungu wakakaa pembeni kabisa mbali na siasa na mambo ya kidini na kimila .
Mpaka hapo kanisa halina kosa .

Kosa limekuja kwa watawala bila kujali dini wamekua na tamaa ya kufanana kama wazungu na kuweka sheria mbaya zaidi ili wasiguswe wanapofanya makosa na matokeo yake wamekua wakijilimbikizia mali na kujiona hawana hadhi ya kuwa sawa na wengine .
Hulka halisi ya mwafrika ikajionyesha sasa katika wakati ambao walipaswa kuwa na umoja wakajikuta wanasalitiana kutokana na Mali na kujinufaisha binafsi na saa badala ya jamii nzima .

Leo kinachotuumiza sio dini bali ni Wanasiasa.
Hivi kuuza rasilimali za nchi kinahusika vipi na dini ?
Matumizi mabaya ya serikali yanahusuka nini na Kanisa wakati kanisa lenyewe wanapiga kelele.
Kuna mtu atasema eti ukristo ndio uliowafanya waafrika na wataganyika kuwa waoga wa kupambana na mifumo hiyo ?
Mtu kama huyo ni mpumbavu na mjinga sana.

'Hao babu zetu kabla ya Ukrsto kuja walikua ni waoga kuliko hata kunguru . Babu zetu walikua wanaangalia watoto wao wanauzwa kama ng'ombe . Pumbavu kabisa . Yakafunguliwa masoko ya minada ya watu . Wakawa wanashiriki kukamata watu wao wenyewe na kuwauzia waarabu kwa kupewa kanzu na Kaniki za wake zao.
Kwa hiyo kusingizia Kanisa ni juhudi tu za kupiga vita ukristo wakati ukristo ndio chimbuko la haki za binadamu na utawala bora duniani kote . Leo mpaka wachina wanaitamani sana ukristo ndio maana wanaweka sheria kali ya kuzuia ukristo .
Hata Saudi Arabia wakiweka uhuru wa kuabudu baada ya miaka 50 Ule msikiti wa Maka utakua ni Kanisa kubwa kama la Mwamposa .
Binadamu ni Dynamic hasa unapompa uhuru.

Dunia ya leo ikiwemo Afrika Watu wanamtukana Mwana wa Mungu Yesu Kristo mpaka Mungu muumba wa vyote, lakini je, uliwahi kusikia wapi wakristo wameshika mapanga au kuua watu kwa sababu ya kupigania ukristo? Hakuna mkristo mfia dini. Hata Waislam wa jihadi wanapungua na wengi wanakua Machawa wa watawala ili wapate pesa na kuendesha maisha yao na kwenda kutembelea maeneo ya kihistoria kule Maka.

Ukristo unajengwa kwa mafundisho na imani basi. Kama wewe unaona imani yako au hisia zako au falsafa zako au mtizamo wako ni sahihi basi eleza watu na usiwaite wafia Ukrsto . Mbona mnaogopa kukosoa uislam wazi wazi ? Au unaogopa kukatwa shingo . Kila mtu akiibuka anakimbilia kukashfu Ukristo lakini dini nyingine zipo tena zimeingia Afrika Tangu karne mashariki tangu karne ya Saba .
Ukristo ni dini ngeni sana Afrika .
Mababu zetu walioacha Dini zao za Asili na wengi za Kiislam na kufuata Ukristo tena baada ya kupata mafundisho ya dini na ya Elimu ya dunia ,hawakua wajinga .

Ukristo mfano Ukatoliki na Dini nyingine za awali kama KKKT hawambatizi mtu bila kumpa mafundisho ya dini kwa kina . Kwa hiyo Ukrsto haujawahi kumlazimisha mtu kuwa Mkristo kamwe .

Kuleta stori za Dini za Kiafrika ni haki yako lakini ulimwengu wa sasa kila mtu mwenye akili timamu anatamani uhuru wa kuamua anachotaka mwenyewe na wengi wanapendelea staili ya Ukristo kwa sababu ndiyo staili mpya na yenye mvuto na ustaarabu kuliko staili nyingine .
 
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??

Nimezisoma hi barua Ila msimamo wangu labda unabakia hivi ...

Mimi siabudu dini . Mimi namwabudu MUNGU , Ila kupitia utaratibu wa kitabu kitakatibu Biblia.

Nikiamka kesho nikiamua kwenda dini yoyote nyingine naenda .. ilimradi Ina zile amri kumi basi hiyo ni dini sahihi .

So far hakuna sehem YESU kapendekeza ujinga . So yeye anabakia kuwa NI KWELI NA NJIA YA UZIMA HAPATA TOKEA YOYOTE AKAENDA KWA BABA YAKE ILA KUPITIA YEYE.
 
Back
Top Bottom