Ujinga wa wanaokula Pilipili!

baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ldha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvy anajaza pilipili sasa ladha ya msosi utaijulia wa wapi?
Jaribu kula chakula bila chumvi ndiyo utajua hata anayetumia pilipili yuko sahihi.
 
Faida za kula pilipili....

Kula pilipili kunaweza kuongeza ladha ya chakula, kusaidia digestion, na kuongeza mzunguko wa damu.

Pia, pilipili ina vitamini C na A, ambavyo ni muhimu kwa afya ya ngozi na mfumo wa kinga.

Hata hivyo, ni muhimu kula kwa kiasi, kwani inaweza kuwa na athari kwa watu wenye matatizo ya tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…