Mfumo wa Jimbo una jukumu la kuunda mwelekeo wa fikra wa watu wake
Kwanza nakubaliana na mtoa hoja wa Jamii forum kwamba "uzezeta wetu, ujinga wetu, umbumbumbu wetu ni wa Kiutamaduni, ila ningependa niongezee kwamba ni systematic pia, sio by chance!!!!"
Kwa nini nasema ni wajibu wa system ya nchi kuwa na hazina ya Critical thinkers (vichwa), ili systematically kushape positive direction ya wananchi wake, hawa National brains mara nyingi huwezi kuwaona ila ndio wanakuwa recruited from the the beggining, wanatengenezwa kwa kila fani ili baadae waweze kushape thinking na direction ya ya jamii kwenye nyanja zote za maendeleo, uchumi na za kiutamaduni.
Nchi nyingi zilizopiga hatua kubwa huwaga na deep state unit inakuwa na vipanga (unique brains) kwenye fani zote, inapewa kila kitu na nafasi ya kuthink na kutoa mapendekezo ya namna gani ya kushape thinking ya community yao (wananchi wao); na uongozi wa nchi unawasikiliza na kutekeleza. nyanja za kwenye elimu, kwenye kilimo, kwenye biashara ya ndani na kimataifa, kwenye uchumi n.k In contrary, nchi zetu zinazoendelea wana vikundi tofauti, vikundi vinavyo shape negatively thinking ya wananchi wake ili waendelee kuwa wajinga, waendelea kuwa masikini, iliwaendelee kulala usingizi wa pono. Baadhi ya vikundi hivi vimejikita pia kwenye kutesa na kuumiza wananchi. Pathetic poor countries.
Najua bado hujanielewa niliyosema "systematic", hapa namaanisha hali tuliyonayo haikutokea kama hajali,hahikutokea kwa bahati mbaya, system ya nchi inaweza kushape wananchi kuthink poorly, na kuendekeza mambo yasiyo na msingi na kuacha kuona na kuuliza mambo ya maana, yote kutufanya tuendelee kuwa wapumbavu na wajinga. Nitatoa mifano michache ili uweze kuelewa, system bora na system mbovu zinavyoweza kushape positively and negatively thinking na direction ya wananchi wao respectively.
Kwa wachumi wanajua kabisa recently shillingi yetu imeshuka thamani vibaya sana, kwa asilimia zaidi ya 27 zaidi ya dollar (ni nadra sana) kwa sababu in recent years (from 10 years back) hatuna tunachoexport, zaidi ya kuimport hata mazao ambayo sisi tulitakiwa kuexport; jamani sukari, maembe, maparachichi,mananasi yanayoooza mabarabarani. kuku , mayai, mchele, eti vyote tunaimport, kweli kabisa, sasa unategemea thamani ya shillingi yako ipande bila kuexport, vichache tunavyoeport kama madini vimeshapigwa mizengwe kibao huwezi kujua kiasi halisi tunachoexport ukilinganisha na kilichoandikwa kwenye finacial reports ili tupate gawio.Hapa naongelea syste imeshindwa sio tu kuendeleza mazingifra mazuri ya kibiashara bali hata kuboresha mazingira ya uzalishaji ili ananchi waendelee kuzalisha mazao hayo ya kibiashara.
Najua utaniuliza sasa system ya nchi inaingia vipi humu; kabla ya kuniuliza ebu jiulize maswali machache, zaidi ya miaka 20 mpaka 15 iliyopita Tanzania ilikuwa miongozi za nchi za ukanda wa sub-saharan Africa zilizokua zikoongoza kwenye export Kahawa (the quality cofee brand in the world), export ya Katani, export ya Tumbaku (the best tobacco brand), export ya asali halisi,, export ya majani ya chai (the quality tea- brand in the world), mbao n.k. Tukafika mahali tukaanza kuexport mchele na unga wa mahindi na ngano nchi zote za afrika mashariki na kati. Leo hii mashamba ya mazao hayo yamebakia mapoli;Nenda moshi na Kagera , yale mashamba ya Kahawa chini ya wananchi na machache ya cooperative unions yamebakia mapori, wananchi wanasema ni "bora nilime karanga na viazi nitakula kuliko kahawa na majani ya chai"
Leo hii kama ni graph ya export imeshuka substantially kwa asilimia zaidi ya 80, yaani tuko at the bottom zone. This did not happen by chance. System imekosa ubunifu, imekosa think tankers niliosema wa kupro-actively detect the decline, kufanya detailed root cause analysis of the attributes behind the decline na kutoka na proactive, tailored interventions za kiuchumi na kibiashara kunusua hali hii. Pia inawezekana this is systematically planned , who knows ili kuzalisha jamii ya ki masikini , jamii ya kijinga na kumbuka ukishakuwa masikini na mjinga huwezi kuthink big things unawaza msosi tu; utapata wapi ugali na maharagwe. na ukiweza kuwa na uwezo wa kupata ugali na maharagwe na kununua ka-passu ka kusafilia unaona ndio umefikia kilele cha maendeleo...shabash!
Turudi kwenye elimu yetu, sisi wa zamani tunajua quality ya elimu yetu ilivyokuwa, hapakuwepo na tofauti na nchi za wenzetu wa afrika mashariki;leo hii nafikiri tunastand the last among the East Africa Countries with poor education system, tumezidiwa hata na Rwanda,. Najua utabisha. The reason are the same as above, mitaala na elimu yetu imechezewa vibaya sana, hii ni topic inayojitegemea nitaiongelea siku nyingine. Lakini ni system iliyotakiwa kulinda quality ya elimu yetu, either imekaa kimya kwa sababau tajwa hapo juu, au hatuna tena wale ma-think tankers wa kushape direction ya quality ya elimu ya nchi.
Sina la kucomment kwenye upande wa siasa na uchumi, ebu jikumbushe kidogo at least miaka ile think tankers walitushape tufuate siasa ya ujamaa na kujitegemea, na system ilishape thinking yetu kiutamaduni kufuata mfumo huo, kielimu, kiusalama, kimaisha n.k,hata kama haikufanikiwa sana at least nchi ilikuwa na mwongozo (Dira na, Country Social-Economic-Political Framework) ulioshape systematically thinking ya wananchi na planners,
Unakumbuka Azimio la Arusha na jinsi lilivyofyekewa mbali na Azimio la Zanzibari, mpaka marehemu J K nyerere akasema huitaji akili ya ziada kujua misingi yetu ya azimio la arusha imebadilishwa (Kumbuka sisemi kila kitu kwenye azimio hilo kilikuwa kizuri au azimio lilifanikiwa). Ninachoongelea hapa ni Jiulize leo tunafuata ideology ipi ? hivi unaijua wewe? na ni kwa jinsi gani wananchi wanaifahamu. Uliza jirani yako kwanza hawezi hata kukuelewa unaongelea mambo gani, kwani tuko gizani? Sasa unategemea nini kama nchi hatuna dira au hata framework yake (Hapa siongelei Country Developmental Plans;hizo tunazo za kutosha-Kitheories) je tutasonga mbele vipi? ndio maana kiongozi anakuwa na audacity ya kusema mimi hii sio agenda yangu kwa miaka 5 wakati nchi iliinvest billions kwenye developmental agenda hiyo hiyo miaka 5 iliyopita. (we have the most fragmented and difrancturized country developmental successions guidance and plans)
Ebu tujikumbushe, je wenzetu mahili wa nchi zilizoendelea wanafanya nini?kuna msemo wa kilugha cha watu wa kanda ya ziwa unasema, nitatafsiri kwa kiswahili " "Ntakyala, hai mawe achumba" maana yake "hasiyetembea mara nyingi hudhani mama yake ndiye mpishi mzuri dunia nzima"
Tuanza na wenzetu China kuhusu Dira na Country Development Framework. Wote mnajua China alikuwa akifuata pure socialism ideology, tena ilikuwa pure ideology ya Kichina (tofauti na za Cuba na original Soviet Union (pure Marxism–Leninism-hii pia ni topic inayojitegemea, tutaiongelea siku nyingine).
Baada ya muda na kuona maendeleo makubwa ya wapinzani wao USA, India na German na nchi za kwanza, think tankers wao wakabadilisha muelekeo, China ya sasa wamehama kwenye pure socialist ideologies wamejikita kenye chines mixed ideologies (blended ideologies) ambayo ni mtambuka (blended) wa capitalism na socialism ideologies iliyokuwa tailored kwa mazingira ya Kichina;wameembrace positive issues za ideologies zote mbili na ndio wanawatamadunisha (kuhypnotize) wananchi wake, "People as the masters of the country". Governing China with the Rule of Law. "Practise socialist core values", including Marxism–Leninism and socialism with Chinese characteristics" hii ndio core dogma ya wachina kwa sasa, hilo neno chinese characteristic ndiyo blended niliyokuwa naongelea, hawawezi kutamka embraces positive capitalism principles, hapo watakuwa wamekiuka imani yao na ya kiongozi wao mwanzilishi Mao Zedong.
Ebu sasa tuangalie China walivyopiga hatua kwa miaka 10-15 iliyopita na leo tunaongelea kama nchi inayoshika namba 1 kwa maendeleo ya kisayansi na kitechnolgia na kiuchumi pia. Na ni nchi iliyoongeza kuinvest kiuchumi katika nchi zote duniani na soon watatawala na kumiliki njia kuu za uchumi wa nchi nyingi zinazoendelea kwa kushindwa kulipa madeni yao ya miaka zaidi ya 20 (refer China kuendesha uwanja wa ndege wa Kenya , Zambia n.k na wanaendelea nchi ya africa magharibi)
Kwa kumalizia , ni kweli uzembe ,ujinga, umbumbu wetu ni wa kitamaduni ila system yetu imepwaya hivyo kuifanya nchi na wananchi wake kutokuwa na direction ya kuthink kwa nyanja zote za uchumi, elimu na kijamii (Systematic). Leo hii tunaembrace uchawa ndio deals na higher level thinkers wametuhaminisha hawa ni watu mashuhuri, influential na wanawatumia kama role models, leo hii tunaembrace mpira kuliko kazi, leo hii elimu yetu haieleweki inafuata msingi gani?;kujenga ufahamu, au kukariri na kuproduce walichokariri kwenye mitiani, leo hii mishemishe ndio mpango wa mjini, hakuna kusisitiza maendeleo yanatokana na kufanya kazi kwa bidii, leo hii vijana wamehamia kwenye mziki kama ndio njia ya kutokea, Kwa ufupi umbwe la kisystem limesababisha madhara makubwa sana kielimu, kiuchumi, kiutamaduni kwa wananchi wa Kitanzania.
Kwa hiyo mbali ya ujinga, uzezeta na umbumbumbu wetu kuwa wa kiutamaduni ila ni systematic pia. Naomba kuwakilisha hoja, kumbuka hoja hupingwa kwa hoja na si matusi na kubeza