Ujio clouds media Tanzania Mombasa county au vipi?

umesahau n clouds plus mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
thanks bro
 
Hahahaaa true, ila hapo Tz clouds mchana hawana cha maana ni miziki tu hadi jioni...aisee hako kabinti apo kwa picha kamenikumbusha r chuga nina kabinti Salma mazee...totoz mtam hataree, nitafunga safari ya kushtukiza huko pindi odinga akiacha kuchafua hali ya hewa huku[emoji3] [emoji125]
 
Ongeza Clous TV Rwanda
Na sehemu ya kujivinjari na kutumia pesa yako kwa raha
Inaitwa Escape One!!
 
Hawa hawana cha maana,kama walishindwa Ku breakthrough huko kwao hapa ndio wataweza? it will very hard for them to 2% of the market share,considering that royal media,nation media and standard group controls 90% of the market share . watakua tu kama eburu TV ,kwanza wakitaka kuingia Kenya kitu cha kwanza si kumuona joho wanafaa waende kwa relevant authorities. kwanza waende kwa registrar of companies, then Communication authority of kenya .
 
Kama una dstv weka channel [HASHTAG]#294[/HASHTAG] utawajua
Mkenya yupi anaweza kuharibu mda wake eti anawatch TV za Tanzania? hao wana vitu za kishenzi ,,,,,,,kwanza utaoneshwa tu waganga wakiwa kule sumbawanga hamna lingine ,Wakenya huwatch news na program za maana.
 
Mkuu AZAM vipi nao wanazo TV za kutosha yaani Azam 1,2,3 Sports HD,Sports2,Sinema zetu na UFM radio.
 
Ha ha haaaa, naona baby kabaye anakupa wakati mgumu sana! BTW, hapo pwani watapata wasikilizaji/watazamaji wa kutosha maana tamaduni za hapo na bongo haziachani sana



 
Nani kasema wameshindwa?? wako na 30% market share kwa hapa nyumban, sio wadogo kama unavyoweza dhani, nyie wasubirini tu
 
Niliwahi kusikia mdau mmoja akiropoka kuwa mdada ana asili kama siyo Mombasa,Znz au Tanga,though wengi wakidai ni kutoka Mombasa ila kaolewa huku. Babie Kabae kama sikosei jina lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…