Ujio clouds media Tanzania Mombasa county au vipi?

Ujio clouds media Tanzania Mombasa county au vipi?

What do you do to mitigate the effect of tribalism?
On Sunday I listened to neche ,mp for tarime vijijini ,and he said that tribalism is sprouting up in Tanzania, I don't think if this is a question that you should be asking instead you should be looking for ways to mitigate what is about to become a disaster in your country. I said as a country we don't live in denials.
 
Mkenya yupi anaweza kuharibu mda wake eti anawatch TV za Tanzania? hao wana vitu za kishenzi ,,,,,,,kwanza utaoneshwa tu waganga wakiwa kule sumbawanga hamna lingine ,Wakenya huwatch news na program za maana.
Five yrs of its operation, tukutane kwa tathmini mkuuu. Clouds siyo wa kisipoti kama unavyofikiria
 
Kusema tu kuwa wana vitu vya kishenzi maana yake umeangalia! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Endelea kuangalia ndg, kwa taarifa Kenya ni wachawi kuliko tz, kama unabisha turudi kule kwenye uzi wa uchawi tuweke takwimu.
Ha ha ha uzi wa uchawi upi? Wa mshana jr?
 
Umesema kweli wakenya huangalia program za maana kama vile, ukabila, alshabab killings, Njaa kule Turkana na habari za rushwa za NYS. Hawawezi kupoteza muda wao na pesa zao kwenda kumuona Ally kiba na Diamond, wale wanaojazana kwenye show zao ni alshabab wote wale.
Mkuuu, nn tena hii? Mwache buana
 
First I don't listen to bongo music ,and am not a fan either, yes those things that you have mentioned we follow them closely ,those are challenges,and every country has got its own challenge na zetu tumezikubali ,and we are solving them out,we don't live in denial.
You personally not a fan of Bongo music,but you know that Bongo music has a great following among Kenyans,right?
 
Mkenya yupi anaweza kuharibu mda wake eti anawatch TV za Tanzania? hao wana vitu za kishenzi ,,,,,,,kwanza utaoneshwa tu waganga wakiwa kule sumbawanga hamna lingine ,Wakenya huwatch news na program za maana.
Hehehe, we jamaa ni boya kweli.
 
kinapendwa na nani ? hawa jama wa kushrub maneno ,hivi majuzi tu mbunge wa nyali Mohammed Ali na yule mbunge wa tarime vijijini walikua KTN kwenye mahojiano kama ulifwatilia bila shaka unaweza ukatofautisha kati ya kiswahili chetu na chao,kama ni kiswahili basi pwani TV ingekua imeshinda royal media ,standard group na nation media lakini hata hawana 1% ,its all about what you give your viewers .
What is your point so far?
 
Ipo!! me huona tu ikitangazwa lakini sijawahi chukua mda wangu kuiangalia ,maana Mimi kuna vitu huwa nafwatilia sana ,and that is news ,my favourite station is KTN 2 for news and citizen for other programs, ntv napitia updates sasa sina mda wa azam.
Hizo ni hobbies zako binafsi, wakenya wenzio waliobaki wanaangalia na wengine husikiliza online!

Haya wewe unasema unafuatilia KTN na citizen, mimi baba yangu yeye huwa anaangalia al Jazeera tu na kusoma magazeti! Je hapo unaweza kusema watanzania wote wanaangalia al Jazeera?

Acha mawazo mgando wewe!
 
kinapendwa na nani ? hawa jama wa kushrub maneno ,hivi majuzi tu mbunge wa nyali Mohammed Ali na yule mbunge wa tarime vijijini walikua KTN kwenye mahojiano kama ulifwatilia bila shaka unaweza ukatofautisha kati ya kiswahili chetu na chao,kama ni kiswahili basi pwani TV ingekua imeshinda royal media ,standard group na nation media lakini hata hawana 1% ,its all about what you give your viewers .
What is your point so far?
 
First I don't listen to bongo music ,and am not a fan either, yes those things that you have mentioned we follow them closely ,those are challenges,and every country has got its own challenge na zetu tumezikubali ,and we are solving them out,we don't live in denial.
See how stupid you are, yet you call yourself engineer,
Wewe ni Lofa tu kama malofa wengine,

Kumbe ni Issue yako personal halafu eti they won't, Who are you?
I bet u must be Gikuyu.
 
On Sunday I listened to neche ,mp for tarime vijijini ,and he said that tribalism is sprouting up in Tanzania, I don't think if this is a question that you should be asking instead you should be looking for ways to mitigate what is about to become a disaster in your country. I said as a country we don't live in denials.
Should tribalism persist in tz, we will use the methods we used in the first place to eliminate it!
 
Hawa hawana cha maana,kama walishindwa Ku breakthrough huko kwao hapa ndio wataweza? it will very hard for them to 2% of the market share,considering that royal media,nation media and standard group controls 90% of the market share . watakua tu kama eburu TV ,kwanza wakitaka kuingia Kenya kitu cha kwanza si kumuona joho wanafaa waende kwa relevant authorities. kwanza waende kwa registrar of companies, then Communication authority of kenya .
Hahaha sasa ni kwamba unawafundisha registration procedures kwamba hawazifahamu au?
Wapo Rwanda na wana TV and Radio plus Dubai wapo pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uhuru vs Magufuli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uhuru vs Magufuli
 
Back
Top Bottom