Ujio clouds media Tanzania Mombasa county au vipi?

Huwa nashangaa sana wanaowaponda watz,kenya karibu matatu zote ni miziki ya kibongo tu,na sio mziki tu maeneo mengi tupo vizuri kuwazidi.ngoja niishie hapa nisijeandika upupu.
 
Kwani mbongo gani anayeangalia TV za manyang'au tugundue nn labda au mnataka tuone sura za mazinjanthropus
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Unadhani wana akili fupi kama yako kwa kushindwa kujua lazima waende Communication authority? Au Company registration authority?
 
Five yrs of its operation, tukutane kwa tathmini mkuuu. Clouds siyo wa kisipoti kama unavyofikiria

We have got over 40 TV stations in Kenya ,but we have only 4 major stations that control over 90% of the market share,so cloud TV will share the remaining 10% with other TV stations .its going to be an uphill task for them.
 
Unadhani wana akili fupi kama yako kwa kushindwa kujua lazima waende Communication authority? Au Company registration authority?

Akili yangu fupi,lakini halitakua jambo rahisi kwao,ebu niulize hivi Tanzania cloud TV ina control market share ya which %? Ila chunga ulimi wako usije ukanichafua moyo,manani matusi yakanitoka machafu yaso mfani manani.
 
See how stupid you are, yet you call yourself engineer,
Wewe ni Lofa tu kama malofa wengine,

Kumbe ni Issue yako personal halafu eti they won't, Who are you?
I bet u must be Gikuyu.

Sijakataa Mimi ni masikini lakini hautawahi ishi maisha ninayoyaishi .
 
Nimeuliza swali mboga sana,kati ya cloud TV na azam gani ipo juu ? hamna wa kunijibu naona tu bla bla bla.
 
Wao hawaji kwa ajili yako pekee, kuna watu wengi tu wanapenda kusikiliza na kuangalia, so calm down, this is business, the best will get accepted by majority, stay tuned, and be prepared to accept changes.

Watu wengi wanapenda kusikiliza nini na kwangalia nini? you can not compete for business by basing on entertainment, sasa mnaringa eti cloud wapo hadi Rwanda sijui Dubai ndio nauliza kati ya azam na cloud gani bora? hata sisi tumeiweka ntv hadi Uganda na Rwanda ,,,waje wajaribu ila sijambo rahisi ,media industry is very competitive here and a new comer can not breakthrough that easily.
 
Nani aliyekuambia kuna kitu rahisi?, hata huko kote waliko wamepambana na wamefanikiwa, unachotakiwa kujua ni kwamba hawa ni wafanya biashara, wapo kibiashara na wamejiandaa na mapambano, hawawezi kuingia kichwa kichwa, wameona wanaweza kupambana na wameona kuna faida kuja huko, wewe tulia uletewe utamu huko, utashangaa na kubaki mdomo wazi, wapo very creative and dynamic.
 
Clouds ya Dubai inapatikana kwenye cable
 

Huyu Mkenya ni engineer wa kutengeneza mirungi tu hauna u engineer wowote.. Hater wa wabongo, Clouds are coming 4 u asshole better hide your silly face if you can't take it..
 
Huyu Mkenya ni engineer wa kutengeneza mirungi tu hauna u engineer wowote.. Hater wa wabongo, Clouds are coming 4 u asshole better hide your silly face if you can't take it..
azam na mbwembwe zake ameshindwa kufanya lolote la maana huku itakuwa clouds ambayo hata haijulikani kabisa???heri azam tulikuwa tukiwaskiaskia
 
Tv station za tz ni kero tupu, zero proffesionalism! Kenya kupenya itakuwa ngumu kwao. Hawa jamaa huwa wamejikunyata wakisoma habari utadhani kwenye studio zao kuna winter! Sura za huzuni hata kwenye habari zisozo za huzuni. Mavazi yao nayo ndo vioja utadhani wanaenda cheki game ya simba vs yanga! Nilitizama tbc1 siku moja ilikuwa ni kama comedy iliyojawa na huzuni. Big up KTN, K24Tv, NTV, KBC1, Citizen Kenya kuna media za kweli!
 
We have got over 40 TV stations in Kenya ,but we have only 4 major stations that control over 90% of the market share,so cloud TV will share the remaining 10% with other TV stations .its going to be an uphill task for them.
Nini tatizo lako kuhusu hilo?! Kama wao wamefanya utafiti wakaona hiyo % inawatosha shida yako nini

Hii ni pilipili shambani, mbona unawashwa?
 
Kumbe uliangalia TBC pekee ukarule out! Pole sana kaka!
 
Mpaka wameamua kuingia Kenya kuna fursa wameiona hasa kwa ukanda wa Mombasa,,naamini muda utasema kama wameweza au wameshindwa,,na kuna tetesi kuwa kwa mwaka huu tamasha kubwa la FIESTA litadondoka katika viunga vya MOMBASA ,,so tuwape muda.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…