pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nimepeana mfano mmoja tu. Nilijaribu pia Startv, ITV, Clouds lakini wapi? Hamna inayo match standard za tv za Kenya zote ni mifano tu ya tv stations. Kwanza EATV na vile vipindi vyao vya ajabu ajabu sijui Uswazi na ule kuku wao mweusi.Kumbe uliangalia TBC pekee ukarule out! Pole sana kaka!