Heheheheeee alirudi mwenyeweHaya, hukumbuki siku ule kidogo ulie alivyoondoka kimya kimya.... aha ha aha ha h
Naomba hiyo blog basiAMEN...... Taratibu dada, itafika tu huko wala usiwe na wasi wasi ukitaka hadi blog yangu waweza ipata
Mi na Amyner hakunaga kijana!
Mi kufa na kuzikana!
Dahteh teh teh hivi couple ya Rejao na Cantalisia bado ipo?
Dah
Hebu muulize Nicas Mtei anajua kila kitu
Dah unanitamanisha aisee lol
Mi bado natafuta picha nzuri then ndio nidunge live
Hivi sijakupa copy yangu bado?kwani haujiamini
Hivi sijakupa copy yangu bado?
unamtaka Lucas ? na nitamuambia baba..... na hauto pata mgao wa kifamilia uataondoka kama ulivyo kuja
ukisema namwambia na wewe ulikuwa unanitaka
Lolsasa si uphotocopy kengine
Anakutaka au anakitaka kifanyio tu?ukisema namwambia na wewe ulikuwa unanitaka