Shukrani mkuu natambua mchango wako wa kipekee pia, vipi Meru kwema?
Uwepo wako ni wa muhimu sana na tunatarajia michango yako mkuu sana tuu
Meru kwema mkuu Lucas Karibu sana
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu natambua mchango wako wa kipekee pia, vipi Meru kwema?
Hahahhahaaa
Mi ndio niliwatoa jamaa kwa bao la ukweli lol
Niliibuka mchezaji bora aisee na mfungaji bora...wakanipa zawadi kibao ikiwemo crate kumi za ndovu.
Hiyo ni just a username mpaka uwe verified, uweke majina yako mawili, uweke picha uliyopiga dakika 15 zilizopita.
Ikiwezekana tutaweka sehemu ya voice signature pia.
Na wewe Zion Daughter lini utakuwa verified user,mi la kwangu ni la ukweli ukweli.
Lucas hongera kwa kujilipua.
Dah unanitamanisha aisee lolkaribu naongeza kapicha ka pili wanakuwa wawili
Muulize cheupe atakuambiaHah, kwenye picha za uwanjani sijakuona hata moja!!! wewe mi nahisi ulikuwa mshika jezi au labda kamati ya ufundi!! kama ulikuwepo ndani basi hongera
Naam nipo mkuu ila ni ratiba tuu... ahsante, Meru kwetu......