Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks sana mkuu, salaam sana kwa wana Mwanza, I hope to be there againKwanza hongera kujilipua!
Ni viashiria utafanikiwa mengi uliyo target for the days comin!
The size of your success is measured by the strength of your desire!
The size of your dream and how you handle disappointment alon the way!
Welldone Lucas.
Nikiongea kwa niaba ya Mpenda Yesu(RIS) nasema hongera sana Lucas Kwa kuamua kuwa real.
Mie nimekuwa real toka nilipo jiunga 2011,lakini kutokana na magumashi ya kule siasani,mchanganyiko na Great Thinkers,ikabidi niahirishe uamzi huo kwanza.
Kila la heri.
Shukrani sana mkuu, hapa mimi nimeambiwa Furahini, tena furahiniLucas, umeona Kadinali Jorge wa Argentina amepewa jina la Francis.... sawa Saint Simle, mtakatifu wa tabasamu pana, imekaa njema, lakini usije kuwa kama yule mzee wa Magogoni ambaye anakenua kenua tu hata panapotakiwa kuonyesha majonzi
yaaaaaah nilikuwa nakapenda kweli haka kamnyama.![]()
amefanyaje huyu?
Upole wenu ujulikane kwa watu wote, FURAHINIShukrani sana mkuu, hapa mimi nimeambiwa Furahini, tena furahini
zimefika, hujambo dada?
Kwanza hongera kujilipua!
Ni viashiria utafanikiwa mengi uliyo target for the days comin!
The size of your success is measured by the strength of your desire!
The size of your dream and how you handle disappointment alon the way!
Welldone Lucas.
Kajilipua haswaa
Na sie tujilipue??
Ndugu zangu wana JF,
I salute you in the name of Peace, Love and tranquility,
Ni takriban miaka miwili nimekuwa hapa JF tukishirikishana mambo mbali mbali na namshukuru Mungu maana nimeweza pata hadi marafiki wazuri sana na tuki-share mambo mbali mbali ya kimaisha.
Leo nimeamua kuja na moja ya majina yangu halisi, na sio just a username, ninafurahia kufahamiana, lakini pia ninafurahia kuwa sehemu ya furaha ya watu wengine.
It is always my wish to be a part of someone's happiness, and that is why i like smiling, but in whatever I do i always wish to glorify my God and to seek holiness from Him. that is why I called myself Smiling saint, those are my wishes, ukijisikia kuniita hivyo karibu, ukijisikia kuniita Lucas pia karibu
NB: to My brothers Erickb52, manoah, Boflo, BAGAH, Nicas Mtei, To wajomba Mtambuzi, Bishanga, Asprin, Dark City, my friends woote King'asti, Cantalisia, Smile Kongosho, Mwali, Arushaone, Ronn M, Mr Rocky, Bujibuji et al.... kiukweli ni wengi sana , sijawasahu charminglady, Zion Daughter, Mpenda Yesu, Filipo, FP (mtani wangu huyu) snowhite, na mama Mamndenyi......
I wish niwa-name woote but ninaomba hao wawa kilishe salamu zangu za upendo, furaha na amani kwa wooote
Kajilipua haswaa
Na sie tujilipue??