UJIO MPYA: ONE STEP TO VERIFIED USER from Smiling Saint to Lucas

mbona kile kitufe cha verified user sikioni mods wanatambua hili?
 
mbona kile kitufe cha verified user sikioni mods wanatambua hili?

aha ha ahaha hii ni one step to go, bado sijakamilisha nikikamilisha Invisible atanirekebishia..... ila kwa sasa just amini nimejiverifai kwa sehemu... Habari Nivea?
 
Last edited by a moderator:
heheheheheheh inaonyesha uu muumini mzuri wa nivea
kidogo ila shida ni kuwa ni mara chache upande daladala kutoka mwenge au sinza hado posta bila kupata jirani mwenye Nivea pia hususani hii

 
Sio kweli bana, nilifikia Nelson Mandela

Mimi niliamini ni kwli maana huku resipondi hata kido wakati wa komvasesheni kati yangu na Mr. Rocky.

Mr. Rocky, nilishindwa kukutafuta siku ile maana nilikuwa na matatizo ya kifamilia ambayo yalisababisha nikatishe ziara yangu A town, narudi tarehe 5 April, hope ntakuona. Ntakua mjini 4 4 days
 
ah ah! Wewe ndio bomu bora yangu mimi niliingia kimya kimya na nikachomoka kimya kimya, chardams Pole na changamoto za kimajukumu ya kifamilia.
 
Last edited by a moderator:
ah ah! Wewe ndio bomu bora yangu mimi niliingia kimya kimya na nikachomoka kimya kimya, chardams Pole na changamoto za kimajukumu ya kifamilia.

Aksante sana ndugu yangu,

Hapo sikubali Manoah, kama uliingia kimya kimya Mr. Rocky alijuaje kuwa umekwama stendi ya mabasi, ukiwa hujui pa kuelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…