Ujio mpya wa msanii 20% na wimbo wa 'Sitoi'

Sijali ulipo teleza!! Naangalia kipaji chakoo!!! Ningelia ungekuwa umefariki lakini as long as upo hai,nitaendelea kuwa shabiki wakooo.......At least kwenye matamasha ya elimu rika sasa tutazisikia nyimbo zako!!! Ujumbe mzuri sanaaa hata mimi umenigusaaa watoa mimba watakuchukia sanaaaaaaa!!! Welcomeback 20% welcome back chied Benzi
 
Mashairi yapo vizuri kwenye huu wimbo,ujumbe tosha kabisa kwa jamii,kweli jamaa ana kipaji cha kipekee.
 
Jamaa kosa alilofanya ni Sawa na kucmamisha gari kwenye mchanga cjui kama atatoka
 
Back
Top Bottom