ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Sijali ulipo teleza!! Naangalia kipaji chakoo!!! Ningelia ungekuwa umefariki lakini as long as upo hai,nitaendelea kuwa shabiki wakooo.......At least kwenye matamasha ya elimu rika sasa tutazisikia nyimbo zako!!! Ujumbe mzuri sanaaa hata mimi umenigusaaa watoa mimba watakuchukia sanaaaaaaa!!! Welcomeback 20% welcome back chied Benzi