emmadizzo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,340
- 1,445
Kinoma manake wenzake wanazidi kutusua yy bado yko chiniAcha niwatie vitasa....
Nikk itamuumiza saana kisaikolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinoma manake wenzake wanazidi kutusua yy bado yko chiniAcha niwatie vitasa....
Nikk itamuumiza saana kisaikolojia
Naichek Utube hapaYupo WCB aseeh. Na hiyo ni track yake ya kwanza kafanya poa
Yah nikwel jamaa anajua sema ndoivo jamaa ana over comfidence hii ni mbaya pia watu wanashindwa kupga nae kazKwa kipaji cha nikk huwa natamani saana afike mbali.
Hahah yah vtu kama ivyo apo ma manager lazma wamgwae..Anaamini anachoamini sio kamdiss hadi mungu wa game la bongo.
Cc babu talent
alikua anafanya kazi benki??Naona hizo dalili pia
Huyu jamaa alikuwa mgumu balaa. Ukiskia stereo unavuta taswira ya Swahili, hainangwasu, nawadabisha n.k.
Kuingia WCB nafikiri kutamsukuma. Kama ni talent anayo promo kupitia WCB atazipata za kutosha. Tutegemee makubwa kutoka kwake. Hii ni track yake ya kwanza aliyofanya na mavoko baada ya kuingia kwa Chibu. Hongera.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atabak na zile " I wish ningejua "
Kwa kiki za wasafi singa singa atapata watoto wakali mpaka atajidharau kwanini alikiletea shobo kile ki tomboy!
Seriously, sitaki kuamini kama unamaanisha ulichoandika jamaaHawa WCB washaanza kukeraa aisee na kuokota okoto hovyo wasanii
Haka kastereo hata hakafai kuwepo WCB
Seriously jamaa, nadhani utakua a true definition of hater kama unamaanisha ulicho andikaHawa WCB washaanza kukeraa aisee na kuokota okoto hovyo wasanii
Haka kastereo hata hakafai kuwepo WCB
singa anasema "yupo juu kama bombardier"Haha... jamaa labda kuna biz pale kazikosa baada ya singa singa kuingia
Dah wana wanazidi kupungua tu kwenye midundo yetu ya dukeKilingeni tumsahau
Washkaji zake sasa hivi ni harmonize na Chibu na shemeji zake ni zari na wolper