Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Huyu jamaa alikuwa mgumu balaa. Ukiskia stereo unavuta taswira ya Swahili, hainangwasu, nawadabisha n.k.

Kuingia WCB nafikiri kutamsukuma. Kama ni talent anayo promo kupitia WCB atazipata za kutosha. Tutegemee makubwa kutoka kwake. Hii ni track yake ya kwanza aliyofanya na mavoko baada ya kuingia kwa Chibu. Hongera.

Hawa WCB washaanza kukeraa aisee na kuokota okoto hovyo wasanii

Haka kastereo hata hakafai kuwepo WCB
 
Back
Top Bottom