Ujio wa Al Hilal mbaya kwa Simba

Ujio wa Al Hilal mbaya kwa Simba

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Simba kutaka kucheza mechi za kirafiki na al hilal ni kujimaliza, kutafuta injury bila sababu.

ZIMBWE NA KAPOMBE HAWAPATI ROTATION HAPO HAPO TUNA MECHI NA SINGIDA BIG STARS KABLA YA KUSAFIRI KWENDA GUINEA KUCHEZA NA HOROYA FC.

AL HILAL walikuwa mapumzikoni hawana mechi SImba kila wiki wana mechi why kucheza tena game na al hilal tunatafuta nini tayari wacheza wapo na wanacheza week to week, labda kama watapanga ambao hawachezi kabisa but nayo ni risk ukimpoteza mtu kama kakolanya akauumia kwenye mechi ya bonanza ni ujinga. Huwez kuona mambo kama haya ULAYA ktkt ya ligi mnacheza mechi ya kirafiki so what. Wanasimba hii inatumaliza
Viongozi wasipende kuchukua hela tu za AL HILAL.

Tunaomba hawa wasichezeeee

MANULA
KAPOMBE INONGA ONYANGO ZIMBWE JR
KANOUTE MZAMIRU
SAIDO SAKHO
CHAMA
BALEKE

Wengine BOCCO PHIRI BANDA OKRAH tutunze energy ya kucheza ugenini
 
Wamekusikia makolo wenzako. Ila kwakuwa hawajielewi watakupinga kama walivyopinga kuwa Hawajauz basi[emoji3][emoji3]
 
Yaani mechi na Singida inachezwa tarehe 3 February 2023.Mechi ya Horoya itachezwa wiki moja baadaye. Mleta hoja anataka timu ifungiwe ndani wasicheze ili mchezaji asiumie.Kwa hiyo hata mazoezi wasifanye kwa sababu kuna risk ya kuumia wachezaji .Hizi ni akili za wale ambao wawili tu ndio wana akili za kutosha.
 
3dc4265b-0774-449b-ada0-1fe827575c15.jpg
 
Safari ya DUBAI hakuwa ya kiufundi...
 
Kutokujua soka kusikufanye uje kuandika ujinga jf. Unajua umuhimu wa mechi za kimataifa kipindi hiki ambacho Simba inajiandaa na mechi za hatua ya makundi CCL?

Kuna haja ya viongozi wa JF kupima uelewa wa watu kabla ya kuwaruhusu kuleta uzi kwenye jukwaa.
 
Kocha ameshagundua mpaka sana hana uwezo wa kuchukua ubingwa wa ligi kuu.
Hivyo ameona ni bora aiandae timu kwa mashindano ya kimataifa.
Aisee! Kumbe timu ikiwa na uhakika wa kuchukua ubingwa wa Bara huwa haiandaliwi kwa mashindano ya kimataifa!
 
Aisee! Kumbe timu ikiwa na uhakika wa kuchukua ubingwa wa Bara huwa haiandaliwi kwa mashindano ya kimataifa!
Maandalizi yalishafanyika kwenye usajili, na pia kwenye pre season. Kilichobakia kwa sasa ni ushindi tu, na kuchukua mataji.
 
Back
Top Bottom