Ujio wa Al Hilal mbaya kwa Simba

Ujio wa Al Hilal mbaya kwa Simba

Mkuu majeruhi yanaweza kutokea hata kwenye mazoezi

Hii mechi ni muhimu sana
Pamoja na kukejeliwa kuwa mleta mada ni Yanga lakini ana point ya maana. Kama sijakosea tarehe 3 Simba ina mechi ya ligi kuu dhidi dhidi ya Singida big stars. Je aweke kikosi dhaifu kwenye mechi ya ligi ili afanye rotation au waweke kikosi kamili ili wavune alama tatu kisha kwenye mechi ya Al Hilal ndio waweke kikosi dhaifu ili kuwapunguzia uchofu kikosi cha kwanza.
 
Maandalizi yalishafanyika kwenye usajili, na pia kwenye pre season. Kilichobakia kwa sasa ni ushindi tu, na kuchukua mataji.
Kwani pre season ilifanyika? 😀

1674642353670.png
 
Pamoja na kukejeliwa kuwa mleta mada ni Yanga lakini ana point ya maana. Kama sijakosea tarehe 3 Simba ina mechi ya ligi kuu dhidi dhidi ya Singida big stars. Je aweke kikosi dhaifu kwenye mechi ya ligi ili afanye rotation au waweke kikosi kamili ili wavune alama tatu kisha kwenye mechi ya Al Hilal ndio waweke kikosi dhaifu ili kuwapunguzia uchofu kikosi cha kwanza.
Mkuu kikosi kitakachocheza na Al Hilal umeshakiona
 
Umesoma bila kuelewa. Kuna mapumziko ya moja tu kutoka kumaliza mechi ya ligi kuu dhidi ya Singida. Maanake lazima kutafanyika rotation ya wachezaji ili kushiriki michezo yote miwili.
 
Back
Top Bottom