changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Pamoja na kukejeliwa kuwa mleta mada ni Yanga lakini ana point ya maana. Kama sijakosea tarehe 3 Simba ina mechi ya ligi kuu dhidi dhidi ya Singida big stars. Je aweke kikosi dhaifu kwenye mechi ya ligi ili afanye rotation au waweke kikosi kamili ili wavune alama tatu kisha kwenye mechi ya Al Hilal ndio waweke kikosi dhaifu ili kuwapunguzia uchofu kikosi cha kwanza.Mkuu majeruhi yanaweza kutokea hata kwenye mazoezi
Hii mechi ni muhimu sana