Tetesi: Ujio wa Dj Snake bongo

Kwani wewe unafikiri nani Duniani hajawahi kusikia kuhusu Serengeti? Unafikiri tunategemea video za Ney wa Mitego kutangaza mlima Kilimanjaro? Anyway, that's your idea.
Wewe bongolala kwel kwa akil hizi ndomana wakenya wanatupiga gep..saiv wazungu weng wanajua Kilimanjaro ipo kenya na kiswahili ni lugha ya kenya..
Kuna watu duniani(tena asilimia kubwa ya dunia) hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Tanzania sembuse Serengeti?
Hapa hapa tz tu kuna wabongo hawajui rais wa marekani anaitwa nan..na wengine bongo hapahapa hawajui Serengeti iko wapi
 
Kwa maneno uliyoandika hapa, umepata wapi kiburi cha kuniita mimi bongo lala? Sasa kumjua rais wa Marekani kuna umuhimu gani? Au kuna uhusiano gani na Serengeti? Kwani ni lazima wazungu wote wajue Tanzania iko wapi?
Kama wazungu wanajua Kilimanjaro ipo Kenya, wakifika Kenya ndio wanaweza kupanda mlima bila kuingia Tanzania?
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe unafikiri nani Duniani hajawahi kusikia kuhusu Serengeti? Unafikiri tunategemea video za Ney wa Mitego kutangaza mlima Kilimanjaro? Anyway, that's your idea.
Wewe jamaa waajabu sana Serengeti unaisikia kilasiku na kuifahamu wewe kwakuwa upo ndani ya Tz ni hivi nakwambia ⅓ robotatu ya watu wote Duniani hawajui kuna nchi inaitwa Tz, mfano mzuri wewe mwenyewe kuna nchi kibao ukitajiwa jina huzijui ila walikuwa kwenye hizo nchi wanadhani nchi yao vilivyomo vinajulikana kama unavyodhani wewe.

Portfolio | 2020
 
Man, nimetembea Duniani kila ninayekutana nae nikitaka kuwambia Tanzania iko wapi easy way nikuwatajia Serengeti. Watu wanaijua kuliko unavyofikiria wewe. Na hiyo world map unayosema ipo kichwani kwangu, usifikiri watu wote tuko kama wewe
 
Kati ya serengeti na trump wewe unahisi kipi ni maarufu duniani kwa sasa?
Wazungu wengi wanaishia kenya due to low budget na ishu za visa...
Sasa mfano wewe umeandaa budjet ya kwenda marekani siku tano kuangalia pyramids ile unafika unaambiwa pyramids za hapa las vegas ni fake na zimejengewa concrete, OG zipo misri...ukicalculate kwenda misri ni gharama zingine itabidi tu sasa uangalie vitu vya hapohapo marekani...muda huo unawaingizia wao foreign currency kupitia vitu unavyonunua na mahotel unayolipia kukaa.
 
Man, nimetembea Duniani kila ninayekutana nae nikitaka kuwambia Tanzania iko wapi easy way nikuwatajia Serengeti. Watu wanaijua kuliko unavyofikiria wewe. Na hiyo world map unayosema ipo kichwani kwangu, usifikiri watu wote tuko kama wewe
Boss kuhifadhi ramani kichwani na kuzijua nchi ni vitu viwili tofauti, umeenda nchi kadhaa yepi na yepi unaijua Dunia vizuri wewe.

Portfolio | 2020
 
Boss kuhifadhi ramani kichwani na kuzijua nchi ni vitu viwili tofauti, umeenda nchi kadhaa yepi na yepi unaijua Dunia vizuri wewe.

Portfolio | 2020

Sio kuhifadhi ramani kichwani. In general knowledge lazima ujue how the world is. Kuhusu kutembea kwangu is not your business. Nilikuwa nakuelewesha tu watu Duniani wanaifahamu sana Serengeti kuliko unavyofikiria wewe. Dunia ahitaji kuangalia video za Bongo fleva kuifahamu. Serengeti iko juu zaidi ya kiduku.
 
Huyo jamaa ni balaa sana hasa nyimbo zake za singeli anauwa kinoma

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…