The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tulia uandike vizuri hadithi yako bana... inakua kama umekalia msumari bahati mbaya bana...Great thinkers.
Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania.
Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo ambalo linawezekana kabisa.
Ili ligi iwe tamu na yenye kuvutia na ushindani halali kila timu iwe na mzamini wake tofauti kabisa pia viongozi wa Mpira waache ulafi na rushwa wanaua timu na kukatisha Tamaa wawekezaji.
mi naongelea Mpira. We sijui une comments juu ya kitu ganiHatimae vilio vimeanza kulejea taratibu, nlikua nmemis hivi vitu
Kuna sehemu nimetaja Simba au yanga?Simba ikishinda sawa lakini Yanga ikishinda mnasingizia GSM kapenyeza rupia.Acheni ujinga !
Hakuna timu hata moja inayocheza Vizuri Ligi kuu Tanzania Bara kaa ulijue hilo.sema Kwa Sababu wewe ni teja wa timu fulani huwezi kunielewa au utaelewa baadae sanaMkiona yanga tu inacheza vizuri mnaanza kelele!, yani imefikia hatua yanga ni dude lakutisha sana kiasi kwamba mnaita masindano, mara vibarua fc acheni uoga chezeni mpira!.
halafu mashabiki wa simba huwa hamuishi kelele!, tulieni mpira si unadunda mara hii hatutakuwa na huruma na mtani ni ngeo tu!.
sawa tukutane kiwanjani.Hakuna timu hata moja inayocheza Vizuri Ligi kuu Tanzania Bara kaa ulijue hilo.sema Kwa Sababu wewe ni teja wa timu fulani huwezi kunielewa au utaelewa baadae sana
Ukutane na Nani. Mi siyo mchezajisawa tukutane kiwanjani.
tulia sasaUkutane na Nani. Mi siyo mchezaji
Timu inaogoza ligi lakini mna kitetemi naongelea Mpira. We sijui une comments juu ya kitu gani
🤣🤣🤣Timu lialia mmerudi kwenye uhalisia wenu