Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Ngoja tuone Kama kweli yanga imerudi.Mkiona yanga tu inacheza vizuri mnaanza kelele!, yani imefikia hatua yanga ni dude lakutisha sana kiasi kwamba mnaita masindano, mara vibarua fc acheni uoga chezeni mpira!.
halafu mashabiki wa simba huwa hamuishi kelele!, tulieni mpira si unadunda mara hii hatutakuwa na huruma na mtani ni ngeo tu!.