Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

Mwambie baba yako akawekeze
 
KIla timu inatafuta wadhamini,kila timu inatuma maandiko kibao ili wapate wadhamini,wadhamini wengine wanapoombwa udhamini ndo kwanza wanazikataa hizo timu.leo ni ushamba wa hali ya juu sana kuilamu GSM ambayo inatoa fedha zake kusaidia timu zisonge mbele, kama pangetokea mdhamini mwingine mwenye mapenzi ya kweli na timu fulani na kuweka mzigo wa maana, hakuna timu ingebaki na udhamini wa GSM
 
Wakati yanga anavulunda wimbo wenu ulikuwa ubaya ubwela pia tumesajila wazee Sasa tulieni hatutaki vilio vyenu tena.
 
Hakuna unachojua. Uteja wa timu unakusumbua
 
Hakuna kitu kinanikera kama hiki. Kama ni utani sawa ila kama mko serious nikiri ninyi ni wapumbavu na waoga, mnaiogopa yanga ila hamuishi kelele kujifanya mko vzr.nafsi zenu Zina hofu kubwa na Yanga f.c
 
Hlf unajifanya eti sijataja timu🙄,jiamini na jitokeze usijifiche kichaka cha dengue....eleweka ewe hofu hofu s.c😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Zisaidieni basi kutafuta hao wazamini sio kubwata bwata tu ni sawa na kumsema mwanao anakula kwa watu ili hali wew uwezo wa kumlisha huna huo bila shaka ni utahira
 
Ukitaka Utukanwe Udhalilishwe we Waongelee Gsm Wananchi wanachotaka Wao Hoya hoya tu Wanasahau juzi tu hapa Gsm Alipunguza Sauti kidogo wananchi Wakaja mbio wakaanza kumtukana Eng:Amerudisha kile anachokifanyaga Wote wamekurupuka Yanga inatisha bila kujiuliza kilitokea nini Ghafla Yanga ikawa mbovu na imetokeaje Ghafla Yanga Inatisha Wananchi Mpila sio chumvi muwe mnakaa na kutumia Akili zenu Gsm anawachezesheni Ngoma msiojua kiitikio Chake Soon Mtakumbuka hii Komenti.
 
"Gusa achia twende kwao"
Hii kauli huwa inawaumiza sana makolo na wachambuzi kanjanja.

Yanga ikiwa inacheza ovyo hii milio ya "jiesiemu" hauwezi isikia popote.

Na hapa bado 😂 mpaka mhame uwanja
 
"Gusa achia twende kwao"
Hii kauli huwa inawaumiza sana makolo na wachambuzi kanjanja.

Yanga ikiwa inacheza ovyo hii milio ya "jiesiemu" hauwezi isikia popote.

Na hapa bado 😂 mpaka mhame uwanja
Aisee kumbe Tz ni yanga.na Simba tu? Basi hii Ligi haifai ifutwe tu.
 
Hakuna timu hata moja inayocheza Vizuri Ligi kuu Tanzania Bara kaa ulijue hilo.sema Kwa Sababu wewe ni teja wa timu fulani huwezi kunielewa au utaelewa baadae sana
Hapa Maputo south Africa kuna banda umiza kila mechi za Yanga zinaonyeshwa kiingilio n Rand 20, Sababu kubwa ni mashabiki wengi wa Yanga na mpira mzuri.
 
Uto ndiyo timu pekee duniani ambayo ikifunga goli mashabiki wanamshangilia mdhamini wa timu.

Bado kidogo wamtimue Hersi ila wakakumbuka vibakuli vya ombaomba siku hizi wanavitumia kunywea supu wakatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…