Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

Ngoja tuone Kama kweli yanga imerudi.
 
Wewe unaejua,nenda sasa ukadhamini hizo timu.
Ligi ya TZ siyo tamu tena na haina ushindani full stop. Nilitegemea kuona timu kama nne zikipambania kombe kufa na kupona badala Yake imebaki Simba na yanga tu hovyó kabisa.
 
Ligi ya TZ siyo tamu tena na haina ushindani full stop. Nilitegemea kuona timu kama nne zikipambania kombe kufa na kupona badala Yake imebaki Simba na yanga tu hovyó kabisa.
Hiyo ni kawaida mbona hata ulaya.

Ujerumani....bayern
Italy........inter/as Milan
Spain......madrid/FCB

N.K
South Africa
Misri,libya,Morocco
kote Hali ni hiyo timu mbili bingwa nyengine ni wasindikizaji tu
 
Hiyo ni kawaida mbona hata ulaya.

Ujerumani....bayern
Italy........inter/as Milan
Spain......madrid/FCB

N.K
South Africa
Misri,libya,Morocco
kote Hali ni hiyo timu mbili bingwa nyengine ni wasindikizaji tu
Kaangalie upya msimamo huko ulaya wababe hoi. Misri ña morroco wababe wote wanapumulia mashine. SA etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…