Ujio wa huyu ni kwamba na Tanzania deni linafutika kwa kualikwa au ?

Ujio wa huyu ni kwamba na Tanzania deni linafutika kwa kualikwa au ?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
FB_IMG_1781933629518.jpg
 
Anachofanya huyu sasa hivi ni kujaribu kuleta marais wengi kadiri iwekanavyo ili aanze kuzoeleka akubalike. Mara nyingi rais anaposhinda uchaguzi nchini kwake, hupenda kufanya ziara nchi nyingine ili kujitambulisha. Huyu anaona aibu kwa mauaji aliyofanya ndiyo maana anajaribu kuwavuta ma-rais waje.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom