Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

Tushampumzisha JPM acha sasa shughuli zingine ziendelee.

Inaendelea...
Hiki kidemu nilikutana nacho South beach. Kuna beach moja maarufu Durban inaitwa South beach. Mie bhana kawaida yangu siku za Jumapili nilikuwa naenda beach kuangalia watoto wazuri wakiwa kwenye bikini. Yaani kilichokuwa kinanipeleka ni kwenda kuangalia misambwanda tu ikiwa half naked. Kule beach bwana kila mtu huwa anajifanya hana hisia, utakuta mademu wanavu vua na kubadirisha nguo mbele za wanaume halafu wanaume wanajifanya kama hawana time vile. Sasa mimi hiyo hali nilikuwa naipenda kinoma. Nilikuwa nikifika pale naanza kula rada kuangalia sehemu gani nikaweke kambi ili nipate view isiyokuwa na chenga nile nifaidi misambwanda. Kwa hiyo nikifika ufukweni naanza kuangalia watoto wanaokuja na nikiona wamekidhi vigezo vya macho naanza kushuka taratibu kuelekea kwenye mchanga kabla hawajaanza kuvua nguo na kuvaa bikini. So nikiona anayenivutia au kundi linalonivutia na mimi najifanya kushuka chini na kujifanya sina time nao ila nakuwa sichezi mbali na maeneo wanayoelekea. Kumbuka beach kuna watu wengi sana hivyo inakuwa sio rahisi mtu kukugundua kuwa unaifuatilia pisi flani ili ukaipige chabo ikianza kubadirisha nguo. Na pisi zingine zinaweza kukufuata na kukuomba uziangalizie vitu vyao wakiwa wanaogelea ili visiibiwe maana pale kuna wizi pia. Na ni mara nyingi tu pisi zilishanifuata na kuniomba niziangalizie nguo zake na mali zingine maana zilikuwa zinaniona sina dalili ya kuogelea ila nimekuja kupunga tu upepo wa baharini. So ukipata zari la kuombwa uangalie mali zao maana yake pisi zitaanza kubadirisha nguo mbele yako. Kama nilivyotangulia kuongea hapo awali, ukiwa beach kila mtu huwa anajifanya hana hisia. Demu atavua mbele yako na wewe utajifanya kama humuangalii au unakuwa unajifanya unazungusha tu shingo kumwangalia katika hali ya kujifanya umegeuka tu kwa bahati mbaya kumwangalia lakini huna time naye. Kuna wengine wenye aibu kidogo watakuomba uwashikie taulo ili waweze kuvua na kuvaa nguo za kuogelea, yaani atakuomba umzinge na taulo ili achojoe, na wewe unamzinga huku ukijifanya unaangalia pembeni kumbe unazungusha macho kama kinyonga, mpaka anamaliza kuvua nguo alizokuja nazo na kuvaa zile za kuogelea ushamchungulia vya kutosha.

Sasa kuna siku nimeenda zangu beach kuangalia uumbaji wa mwenyezi Mungu kama ilivyo kawaida yangu. Ila sio siri wanawake wakiwa kwenye bikini na bra halafu mchana kweupe huwa wanapendeza sana, hapo ndio unaweza kuona ufundi wa Mungu kwenye kumuumba mwanamke. Kila aina ya maumbo utayaona. Wenye mihips ya kufa mtu utawaona, wenye misambwanda kiasi kwamba unashindwa kuamini kama kweli huyu mtu aliumbwa au alijiumba utawaona. Kuna wanawake wana makalio makubwa acha kabisa. Unaweza kujificha nyuma yake na mtu aliyeko upande wa pili asikuone. Kuna pisi kali slender za kila aina utaziona. Unajua ndugu zetu waislamu walipoambiwa waoe hadi wake wanne wapo sahihi japo hata hao wanne bado hawatoshi kabisa. Maumbo ya wanawake yapo mengi sana na kila moja lina utofauti wake na lina mvuto wa kipekee hivyo kuoa kimwanamke kimoja tu dah! ni kama kuzidhulumu nafsi za wanaume. Hii ndio sababu watu wanasema mwanaume asiyechepuka ni yule mwenye tatizo la kiafya au asiye na hela, ila mwanaume rijali kabisa halafu upo fiti na una hela sio rahisi kuridhika na mwanamke mmoja halafu pisi kali zenye maumbo tofautitofauti kama hizo za South beach zikupite.

Siku hiyo nikawa nazicheki pisi flani tatu za maana zinaogelea halafu zilikuwa zinaogopa maji balaa. Zilikuwa zinaogelea kwenye kina kifupi. Zilikuwa zinaogopa kwenda mbali. Mawimbi yakija unaziona zinakimbia kuja nchi kavu huku juu kwenye mchanga. Kwa hiyo zikiyakimbia mawimbi na kuja huku nchi kavu mimi naendelea kujipigia chabo tu zenyewe hazina hata habari. Kwenye hizo pisi kali kuna moja ilikuwa slender flani halafu ina ngozi tamu balaa. Yaani ilikuwa portable flani, nilijikuta nimeipenda ghafla. Yaani ilikuwa kila ikikimbia mawimbi ilikuwa inatoka nje na kunikaribia pale nilipokuwa nimesimama, ikiwa inayakimbia mawimbi unaiona jinsi ilivyo na kishape kitamu, halafu jinsi ilivyokuwa inakimbia ilikuwa inavutia sana maana ilikuwa inatikisika hadi raha kuiangalia. Kifuani ilikuwa saa sita halafu ilikuwa na tumbo flati kitovu kimeingia kwa ndani kinavutia balaa. Yaani nilikuwa natamani niikumbatie kila ilipokuwa inakimbia mawimbi na kuja karibia na sehemu niliyokuwa nimesimama. Sasa ikiwa inarudi majini unaona kwa nyuma jinsi matako yalivyokaa vizuri, mapaja yalivyo malaini halafu yanachuruzika maji, yapo uniform hayana kovu wala cellulite, ngozi ya mapaja very uniform dah! Sometimes bikini ilikuwa inakaa upande nilikuwa nauoa uvungu wa kalio, ilikuwa na kiuno chembamba, halafu ina macho mazuri meupe very exquisite and innocent. Nikawa najisemea hapa leo lazima nijaribu bahati yangu, nikiondoka bila kuisemesha hii pisi nitakuwa nimefanya kosa kubwa sana, nafsi ingenitesa kwa muda mrefu sana. Udomo zege acha niukemee kwa jina la mwokozi, piga ua galagaza hii pisi lazima niongee nayo.

Itaendelea...
 
Tushampumzisha JPM acha sasa shughuli zingine ziendelee.

Inaendelea...
Hiki kidemu nilikutana nacho South beach. Kuna beach moja maarufu Durban inaitwa South beach. Mie bhana kawaida yangu siku za Jumapili nilikuwa naenda beach kuangalia watoto wazuri wakiwa kwenye bikini. Yaani kilichokuwa kinanipeleka ni kwenda kuangalia misambwanda tu ikiwa half naked. Kule beach bwana kila mtu huwa anajifanya hana hisia, utakuta mademu wanavu vua na kubadirisha nguo mbele za wanaume halafu wanaume wanajifanya kama hawana time vile. Sasa mimi hiyo hali nilikuwa naipenda kinoma. Nilikuwa nikifika pale naanza kula rada kuangalia sehemu gani nikaweke kambi ili nipate view isiyokuwa na chenga nile nifaidi misambwanda. Kwa hiyo nikifika ufukweni naanza kuangalia watoto wanaokuja na nikiona wamekidhi vigezo vya macho naanza kushuka taratibu kuelekea kwenye mchanga kabla hawajaanza kuvua nguo na kuvaa bikini. So nikiona anayenivutia au kundi linalonivutia na mimi najifanya kushuka chini na kujifanya sina time nao ila nakuwa sichezi mbali na maeneo wanayoelekea. Kumbuka beach kuna watu wengi sana hivyo inakuwa sio rahisi mtu kukugundua kuwa unaifuatilia pisi flani ili ukaipige chabo ikianza kubadirisha nguo. Na pisi zingine zinaweza kukufuata na kukuomba uzinagalizie vitu vyao wakiwa wanaogelea ili visiibiwe maana pale kuna wizi pia. Na ni mara nyingi tu pisi zilishanifuata na kuniomba niziangalizie nguo zake na mali zingine maana zilikuwa zinaniona sina dalili ya kuogelea ila nimekuja kupunga tu upepo wa baharini. So ukipata zari la kuombwa uangalie mali zao maana yake pisi zitaanza kubadirisha nguo mbele yako. Kama nilivyotangulia kuongea hapo awali, ukiwa beach kila mtu huwa anajifanya hana hisia. Demu atavua mbele yako na wewe utajifanya kama humuangalii au unakuwa unajifanya unazungusha tu shingo kumwangalia katika hali ya kujifanya umegeuka tu kwa bahati mbaya kumwangalia lakini huna time naye. Kuna wengine wenye aibu kidogo watakuomba uwashikie taulo ili waweze kuvua na kuvaa nguo za kuogelea, yaani atakuomba umzinge na taulo ili achojoe, na wewe unamzinga huku ukijifanya unaangalia pembeni kumbe unazungusha macho kama kinyonga, mpaka anamaliza kuvua nguo alizokuja nazo na kuvaa zile za kuogelea ushamchungulia vya kutosha.

[emoji419]Niko hapa
 
Sema we jamaa unajua kusifia , mpaka nakuwa kama namuona vile anatoka kwenye maji na vimaji vinamchuruzika kwenye tako[emoji28][emoji28]
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Dah! Mie hizi habari zilinikuta nipo sebleni naandika utangulizi wa huu uzi. Ile naupost tu nikaona notification kutoka kwa member mmoja anasema nisitishe hii stori kwa sasa tuomboleze kwanza kifo cha Jiwe, nikadhani anatania. Nikareflesh JF na kwenda Jukwaa la siasa na kukutana na breaking news ya kifo cha Jiwe, moyo ukalipuka. Nikawasha TV harakaharaka na kwenda SABC nikakuta ni breaking news ya kifo cha Jiwe. Nguvu zikaniishia, nikawa kama naota dah!
Mzee umerudi tena bondeni kwa kina nkumbu nn....?
 
Hopeful alikuwa anafanana na huyu
20210329_080846.jpg
 
Tushampumzisha JPM acha sasa shughuli zingine ziendelee.

Inaendelea...
Hiki kidemu nilikutana nacho South beach. Kuna beach moja maarufu Durban inaitwa South beach. Mie bhana kawaida yangu siku za Jumapili nilikuwa naenda beach kuangalia watoto wazuri wakiwa kwenye bikini. Yaani kilichokuwa kinanipeleka ni kwenda kuangalia misambwanda tu ikiwa half naked. Kule beach bwana kila mtu huwa anajifanya hana hisia, utakuta mademu wanavu vua na kubadirisha nguo mbele za wanaume halafu wanaume wanajifanya kama hawana time vile. Sasa mimi hiyo hali nilikuwa naipenda kinoma. Nilikuwa nikifika pale naanza kula rada kuangalia sehemu gani nikaweke kambi ili nipate view isiyokuwa na chenga nile nifaidi misambwanda. Kwa hiyo nikifika ufukweni naanza kuangalia watoto wanaokuja na nikiona wamekidhi vigezo vya macho naanza kushuka taratibu kuelekea kwenye mchanga kabla hawajaanza kuvua nguo na kuvaa bikini. So nikiona anayenivutia au kundi linalonivutia na mimi najifanya kushuka chini na kujifanya sina time nao ila nakuwa sichezi mbali na maeneo wanayoelekea. Kumbuka beach kuna watu wengi sana hivyo inakuwa sio rahisi mtu kukugundua kuwa unaifuatilia pisi flani ili ukaipige chabo ikianza kubadirisha nguo. Na pisi zingine zinaweza kukufuata na kukuomba uzinagalizie vitu vyao wakiwa wanaogelea ili visiibiwe maana pale kuna wizi pia. Na ni mara nyingi tu pisi zilishanifuata na kuniomba niziangalizie nguo zake na mali zingine maana zilikuwa zinaniona sina dalili ya kuogelea ila nimekuja kupunga tu upepo wa baharini. So ukipata zari la kuombwa uangalie mali zao maana yake pisi zitaanza kubadirisha nguo mbele yako. Kama nilivyotangulia kuongea hapo awali, ukiwa beach kila mtu huwa anajifanya hana hisia. Demu atavua mbele yako na wewe utajifanya kama humuangalii au unakuwa unajifanya unazungusha tu shingo kumwangalia katika hali ya kujifanya umegeuka tu kwa bahati mbaya kumwangalia lakini huna time naye. Kuna wengine wenye aibu kidogo watakuomba uwashikie taulo ili waweze kuvua na kuvaa nguo za kuogelea, yaani atakuomba umzinge na taulo ili achojoe, na wewe unamzinga huku ukijifanya unaangalia pembeni kumbe unazungusha macho kama kinyonga, mpaka anamaliza kuvua nguo alizokuja nazo na kuvaa zile za kuogelea ushamchungulia vya kutosha.

Sasa kuna siku nimeenda zangu beach kuangalia uumbaji wa mwenyezi Mungu kama ilivyo kawaida yangu. Ila sio siri wanawake wakiwa kwenye bikini na bra halafu mchana kweupe huwa wanapendeza sana, hapo ndio unaweza kuona ufundi wa Mungu kwenye kumuumba mwanamke. Kila aina ya maumbo utayaona. Wenye mihips ya kufa mtu utawaona, wenye misambwanda kiasi kwamba unashindwa kuamini kama kweli huyu mtu aliumbwa au alijiumba utawaona. Kuna wanawake wana makalio makubwa acha kabisa. Unaweza kujificha nyuma yake na mtu aliyeko upande wa pili asikuone. Kuna pisi kali slender za kila aina utaziona. Unajua ndugu zetu waislamu walipoambiwa waoe hadi wake wanne wapo sahihi japo hata hao wanne bado hawatoshi kabisa. Maumbo ya wanawake yapo mengi sana na kila moja lina utofauti wake na lina mvuto wa kipekee hivyo kuoa kimwanamke kimoja tu dah! ni kama kuzidhulumu nafsi za wanaume. Hii ndio sababu watu wanasema mwanaume asiyechepuka ni yule mwenye tatizo la kiafya au asiye na hela, ila mwanaume rijali kabisa halafu upo fiti na una hela sio rahisi kuridhika na mwanamke mmoja halafu pisi kali zenye maumbo tofautitofauti kama hizo za South beach zikupite.

Siku hiyo nikawa nazicheki pisi flani tatu za maana zinaogelea halafu zilikuwa zinaogopa maji balaa. Zilikuwa zinaogelea kwenye kina kifupi. Zilikuwa zinaogopa kwenda mbali. Mawimbi yakija unaziona zinakimbia kuja nchi kavu huku juu kwenye mchanga. Kwa hiyo zikiyakimbia mawimbi na kuja huku nchi kavu mimi naendelea kujipigia chabo tu zenyewe hazina hata habari. Kwenye hizo pisi kali kuna moja ilikuwa slender flani halafu ina ngozi tamu balaa. Yaani ilikuwa portable flani, nilijikuta nimeipenda ghafla. Yaani ilikuwa kila ikikimbia mawimbi ilikuwa inatoka nje na kunikaribia pale nilipokuwa nimesimama, ikiwa inayakimbia mawimbi unaiona jinsi ilivyo na kishape kitamu, halafu jinsi ilivyokuwa inakimbia ilikuwa inavutia sana maana ilikuwa inatikisika hadi raha kuiangalia. Kifuani ilikuwa saa sita halafu ilikuwa na tumbo flati kitovu kimeingia kwa ndani kinavutia balaa. Yaani nilikuwa natamani niikumbatie kila ilipokuwa inakimbia mawimbi na kuja karibia na sehemu niliyokuwa nimesimama. Sasa ikiwa inarudi majini unaona kwa nyuma jinsi matako yalivyokaa vizuri, mapaja yalivyo malaini halafu yanachuruzika maji, yapo uniform hayana kovu wala cellulite, ngozi ya mapaja very uniform dah! Sometimes bikini ilikuwa inakaa upande nilikuwa nauoa uvungu wa kalio, ilikuwa na kiuno chembamba, halafu ina macho mazuri meupe very exquisite and innocent. Nikawa najisemea hapa leo lazima nijaribu bahati yangu, nikiondoka bila kuisemesha hii pisi nitakuwa nimefanya kosa kubwa sana, nafsi ingenitesa kwa muda mrefu sana. Udomo zege acha niukemee kwa jina la mwokozi, piga ua galagaza hii pisi lazima niongee nayo.

Itaendelea...
shusha nondo mzee baba utupunguzie majonzi
 
Mnavyo leta nyuzi tambueni nyuzi zenu zinasomwa na watu mbalimbali . Kifo Cha Kila mtu ni muhimu hakuna kifo kizuri.

Ninacho weza kuwasihi acheni kuweka matumaini yenu kwa watu. Ndio maana mnaaswa Kila siku kumtumainia Mungu wenu na sio wanadamu wenzenu.

Poromosha story sisi wengine tupo fresh ....huyo asha enda na sisi tutaenda. Mambo ya kukilizaliza Kama wanawake ni upuuzi.

Leta story za huyo mtoto[emoji39][emoji39][emoji39]
Kunywa K vant popote ulipo nakuja kulipa
 
Back
Top Bottom